Juzi niliona habari mafans wa Milan wanareact wanasema "You destroyed Arsenal now us"Gazid ambaye anaiteketeza Acmilan ndio alimleta huyu mpuuzi
Kwa sababu wakati anafanyiwa interview, aliweka wazi kwamba he believes in young generation and he believes in player with team DNA (home grown). Japo those players will have to prove themselves.Namchukia huyu Mbwa anaitwa Emery, kwa nini wanalivumilia?
Unajua kocha anajisahau sana, kwa mimi nionavyo anaangalia maisha ya Wenger anadhani nayeye atavumiliwa kama AWHuyu kocha wamtimue kikosi gani hiki cha kipuuzi,anataka kutuharibia usiku huyu.
Kwa sababu wakati anafanyiwa interview, aliweka wazi kwamba he believes in young generation and he believes in player with team DNA (home grown). Japo those players will have to prove themselves.
Wapeni vijana chance aisee.
Jinsi sisi tulivyo unhappy na selection ya willock, lipo kundi kubwa ambalo wapo happy na selection hiyo.
Let the coach do his job
Mimi basi ananikera zaidi kutonchezesha torreira kuliko anavyonikera juu ya ozil. Let's wait and see but end of day je is our coach as of nowWe are in fifth place, our competitors have won last weekend matches, sisi tunatakiwa kushinda. You cannot win epl match with the kindergarten of willock like
Huyu kocha tulipigwaNilitegemea UNAI angeanza na OZIL kwa ajili ya ku unlock Defence ya Sheffield hawa madogo wanajua ku defence kweli kweli ngoja tuone.
So #EmeryOut is trending in the UK. The game hasn’t even started yet
Kikosi kilicho achwa kikicheza na hiki kilicho anza leo kitatokea nn
Martinez
Bellerin, mavroponous, holding, tierney
Torreira, cabellos, ozil
Smith, lacca, martinel
Ishu ya Ozil inaniuma sana, hivi anamchukuliaje Ozil huyu muhindi? Yaani kwake Willock > Ozil.