Kabisa, thn Freddie aachiwe timu na huyo muhindi tuanze kula maisha sieLacazette amerudi mazoezini, Tierney 100% fit, Holding 100% fit mashabiki wa Arsenal ni muda wetu wa kwenda banda umiza n Chapati za maji pembeni mtindiView attachment 1236443
Propaganda zilizopo tayari kashaandaliwa ,muda wowote Muhindi akijichanganya atafukuzwaKabisa, thn Freddie aachiwe timu na huyo muhindi tuanze kula maisha sie
Kuna mazingira ya kumtoa kafara EmeryKabisa, thn Freddie aachiwe timu na huyo muhindi tuanze kula maisha sie
Umeongea fact tupuMimi ningekuwa Emery ningehakikisha Calum Chambers anarudi kucheza kwenye position yake hapo nyuma kati then Bellerin aanze beki ya kulia... Kiukweli siku Back four ikiwa na Xhambers, Holding, Tieney na Bellerin halafu namba sita Torreila,tutarudisha heshima yetu iliyoanza kupotea!.. Tatizo kocha wetu mkuda sana, haeleweki kabisa!..
Ngoja tusubiri weekend hii tuone atakavyopanga kikosi chake...Umeongea fact tupu
Kweli aweke hawa vijana ,kati anaweka LT11 KATIKA mfumo wa 4-1-3-2 then mbele ya lt11 anawaweka Mateo- Ozil-ceballos mbele Pepe na Auba au Laca na Auba
Mmoja anaanzia benchi
Au apange hivi
Leno.
Bellerin. Holding. Chambers. Tierney.
Torreira.
Guendouzi. Ceballos/Ozil.
Pépé. Lacazette. Auba.
That’s the team I want week in week out for the rest of this season
View attachment 1237137
Huyu mdada wa kiholanzi ni hatari kiukweli, nilimfurahia sana kombe la dunia la wanawake mwaka huu.Vivianne Miedema ana miaka 23 ana magoli 256View attachment 1236384
Huyo Dada ni hatari kwenye nyavu toka akiwa baryen MunichHuyu mdada wa kiholanzi ni hatari kiukweli, nilimfurahia sana kombe la dunia la wanawake mwaka huu.