Lampard kafanya nini?????subiri msimu uishe mkiwa huko danger zone ndio uje kutupa majumuisho vizuri...unamsifia mtu hata game 10 za msimu bado......Ma legend kama Thierry Henry, Garry Neville, Giggs..na wengineo wamejaribu kuwa makocha lakini wameishia kufeli tu ..
Ila kwa Lampard imekuwa tofauti sana..
Kila la kheri Chelsea
Sasa chelsea si ni kitimu kidogo hakina pressure ya mashabiki....so tuliaKuna nini humu mbn vuruvu vurugu tuuu!
Shida mnataka kua kama club kubwa nyingine..uvumilivu ni tunu.
Mbn sisi chelsea hatuna sacking rumours na maisha yanaenda
Huyu ni unga wa ngano,haeleweki mara chapati mara maandazi achana naeUmeshaikimbia man u na kuhamia Chelsea lini?
Huyu unai ni mjanja mjanja tu
Chelsea ni timi ndogo??? Sisi ndo tuna run apo London afu unasema ni timu ndogo??? Acha utani bwana weeeSasa chelsea si ni kitimu kidogo hakina pressure ya mashabiki....so tulia
Wewe unaona kabisa Lampard anachofanya afu unauliza kafanya nini??? Au mpka akutungue ndo ujue Lampard ni Legend mweny nyota ya mafanikio kwenye ukocha..Lampard kafanya nini?????subiri msimu uishe mkiwa huko danger zone ndio uje kutupa majumuisho vizuri...unamsifia mtu hata game 10 za msimu bado......
Weka akiba ya maneno
Hahahhaa acha uongo mkuuPEPE:- Mechi za kimataifa zimeisha EPL inaendelea weekend narudi uwanjani, Epl imenikataa naomba hata nivunjike mguu nikae benchi, kasi na chenga zangu uwanjani hazina mchango wowote naonekana mapepe, napaisha mpira, shuti la mtoto.
Ningebaki zangu France pesa ya usajili itanitokea puani, Emery usiondoke endelea kupokea lawama, tujifiche kwenye kivuli chako.
Wewe ulishawahi kuona wapi muhindi anafundisha mpiraEmery:- Nilikuwa kocha bora Sevila, nimekuja Arsenal mambo hayaendi, mashabiki wananitukana eti mbinu zangu mbovu, wananiita mhindi, tangu lini mspain akawa Patel.
Arsenal nimewaletea falsafa mpya adui anashindwa kutusoma na kutufunga, mashabiki wanakandia, wanalalamika mbinu zangu zinawachanganya wachezaji eti nawachanganyia Mapeazi, matikiti, mafenesi, matango, matembele sehemu moja.
Mimi Patel nifanye nini ozil nimempiga benchi, nimemleta pepe kijana amekuwa Mang'aa, kitenesi. Sijui nikimbie niache timu.
Kasema atampa nafas ,ila bado hatuaminiYap good ampe nafasi mzee wa assist.