Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo sio ozil ,toreira wala lacazete ,ceballos kuona hawachezi.


Tatizo kuona wanaopangwa hawana uwezo wa kufanya kaz ya hawa wanaoachwa

Tunaumia kuona mpira pori ukiibukia arsenal kutoka stoke city


#Emery Out
 
Tatizo sio ozil ,toreira wala lacazete ,ceballos kuona hawachezi.


Tatizo kuona wanaopangwa hawana uwezo wa kufanya kaz ya hawa wanaoachwa

Tunaumia kuona mpira pori ukiibukia arsenal kutoka stoke city


#Emery Out
yaani watford wanatandaza soka safi kuliko arsenal???????????????????????????????????

nimekumbuka kipindi kile Mou anatimuliwa chelsea , mmiliki wa klabu Roma Abramovich alisema waziwazi kuwa timu inachukua makombe saw lakini soka linalochezwa halipendezi ,anataka kuona timu inacheza soka la kuvutia kama ARSENAL maana soka ni burudani.............
 
hhahhahahhhahahahahhha teh teh teh etehhhhhhhh


bring back our wenger
Yaan kuna game Auba aligusa mpira Mara 11 wakati Alison aligusa Mara 23 first half




Harafu et tuna kocha

L11 anacheza dakika 45 et anapiga pass 13-26


Wakat coquline na alisemekana mbovu na wakina elneny walikuwa average players tu wanapiga pass hadi 40 kwa game 1

Xhaka kaongoza msimu mzima kwa kupiga pass

Msimu uliofuata akawa wapili ....

Mtafute xhaka Leo hii hayupo hata kwenye list


Result not found
 
Uongozi wetu ulikuwa wa kifala. Wenger hakuwa anapewa pesa aspend wakawa wanabana...

huyu muhind wanampa pesa halafu magumashi.

..so why hizo pesa hawakuwa wakimpa Wenger?

Ninaamini Wenger angekuwa na timu yenye wachezaji hawa..ndugu zangu .Liverpool wasingekaa kwa raha kule juu.
 
Wenger on Guendouzi:


"He looks to be a good potential. I think there are many other players who have fantastic potential, who played already with me, like Joe Willock and you have Nelson. You have many players who come out and have a big potential and Guendouzi is one of them.''
 
Wilfried Zaha on Pepe:

"He's come from another league, he's young. There's this price tag that he has not put on himself, people have put that on him because of his performances, so you've got to give him time for him to reproduce that, it's not going to come like that" #Arsenal

Zaha on Pepe:

"I have got nothing but faith in him, I have got confidence that he will produce the same thing that he did before, because we both play for Ivory Coast, I've seen the talent he's got, but not everyone sees it" #Arsenal
 
Kipindi cha Wenger tulikuwa tuna forward hadi Bendtner na wachezaji wa kawaida sana,huku tukishindwa kubakiza wachezaji wetu bora lakini tulikuwa hatutoki Top 4.

Mpira ulikuwa unachezwa mzuri sana. Bado Wenger akatujengea uwanja na balance ilikuwa nzuri timu haina madeni.

Emery analetewa Lt11 bado anakomaa na akina Willock. Wenger was genius.
 
Turkish newspaper Takvim claims Fenerbahce director of football Damien Comolli has opened talks with Arsenal over signing Mesut Özil on loan in January. #Arsenal are willing to pay some of his wages in order to offload him.
 
For that control.
For that second touch.
For that finish.
For that celebration.

Just four reasons why @LacazetteAlex's strike is our September Goal of the Month


 
Kabisa,Na pia kitu kingine Raul alitaka wafanye kazi na ma-Agent kwenye usajili kitu ambacho Sven alitaka watumie kampuni ya data kuwa-recruit wachezaji , kujua price na quality za kila mchezaji wanaye muhitaji.

Sven walimharsh sana hao wa espaniola lakini tulikua tunamuhitaji kutengeneza timu bora, hata aliyoyafanya kwa muda mchache yanaonekana e.g kumsajili Auba.

kitu kingine ujuha na kiburi cha Unai vinaletwa na uwepo wa Raul, naamini Gazidis alimhitaji sana mikel Arteta, na Arteta alikuwa chaguo la AW lakini inaonekana Raul akamsuggest huyu ndugu yake baada ya Arteta kutaka kucontrol transfer policy.
 
Wenger ndio alikuwa ovyo mkuu, ni mara ngapi umesikia Arsenal ina bajeti ya million 200 za usajili na wala hakuna cha maana kitachofanyika kwenye usajili paka dirisha linafungwa,utaona anakwambia nina coquelin, nina Chamak,nina wellbeck sihitaji hizo nafasii.Kitu kingine alikuwa ana allocate pesa kwa wachezaji wa ovyo kuamini watachange in future.

Thomas lemar aliweka £92m maji yalipomfika shingoni kipindi Sanchez anataka kwenda City, je hizo pesa alizitoa wapi tena dirisha dogo??, yule mzee alifanya kusudi sana kuamini kwa kile alichokua anaamini ndio maana MOU alimwita Specialist of failure coz alikuwa anaamini kitu kinachomfelisha kila msimu, hio ndio ilikuwa shida ya mzee.

Kumbuka mzee alikuwa ni manager hivyo Transfer policy ilikuwa chini yake, hakukuwa na Raul wala Sven by that moment.
Ila ndio hivyo,Kumbuka Dimitr payet wenger hakutaka kumsajili ingawa alionesha mahaba ya wazi, Riyad Mahrez wote walikuwa tayari kuja pale...all in all Ngolo Kante before Chelsea move Wenger alisema ana-Xhaka ambaye ni bora kuliko Kante.

Mkuu unajua pesa ya Xhaka kuja Arsenal ilikuwa kubwa kuliko Kante kwenda Chelsea.Pia ukumbuke Kante na Mahrez walikuwa offered kwa Wenger toka wapo France, tena wote kwa pamoja kwa bei ndogo sana wote kuliko tuliyomsajili Guendouzi.

Wenger ni legend wetu hatuwezi msahau lakini matatizo yake ni ya kimsimamo zaidi. All in all, he is a very good coach.
 

Mimi siamini kwamba Arsenal ilishawahi kuwaga na bajeti ya paun milioni 200 katika usajili wa wachezaji ni stori tu za magazetini


Kama ambavyo juzi tuliambiwa kuwa kuna bajeti ya paun milioni 40 alafu mwisho wa siku tunaona matumizi makubwa zaidi ya pesa tuliyoaminishwa...........

Xhaka amesajiliwa kwa dau linalokadiliwa 35m pauni
Kante kwenda chelsea ni zaidi ya hiyo pesa mkuu.....
 
Mkuu,transfer fee ya Kante kwenda chelsea ilikuwa below £35.
 
Kante ni pound mill 32, AW hela alikuwa anayo sana tu hata kama haikufika 200M, katika kipindi tumesajili wachezaji kwa bajeti ndogo ni msimu wa kwanza wa Emery.
 
Mkuu Wenger hakuwa anapewa hela

Hizo kuwa na bajeti ya 100 ,zilikuwa ni kuwafichia madudu familia ya kreonke
 
Upo sahihi kabisa ,

Wenger pamoja na nguvu yote aliyokuwa Nayo

Klabu haikumpa pesa za usajir za kutosha

Ndio maana rekod zinaonesha KREONKE hajawahi kutia hata 100 ya kitanzania kwenye usajiri ,Bali Usajiri ulifanyika kwa mapato ya arsenal yenyewe ,

Msimu huu ndio wameweka hela

Na sababu kuu wanasema tayari wanaimiliki klabu kwa 100% tofaut na awali .

Ni kama kule U.S.A kuna ile timu wameijengea hadi uwanja , na wamekuwa wakitoa hela ,maana wanaimilik kwa 100%,
 
Mkuu ni kweli kiburi cha Unai kinachagizwa kwa asilimia fulan na Raul , ila ukifatilia waliomleta Unai ni kina Gazid ndiye alikuwa na mamlaka makubwa, Raul alimtaka Enrique maana anamjua toka barca , Gazid alimtaka Arteta na Unai ,

Asilimia 70% ya waliomleta Unai hawapo Arsenal ,

Ukifatilia vzr Utaona Wengi pale Arsenal hawamuelewi Emery , ni swala la muda tu .

Gazid ndiye aliyemfata unai na kumpa dili, kipind kile anafika Kwenye interview alisema jinsi alivyompata huyu muhind


Raul alikosea sehemu ndogo kuondoka kwa Sven. , Dirisha la summer walimsikiliza sana Sven na akaleta watu kama kina Leno, lt11 , auba, Mateo

Dirisha la January , wakamsikiliza unai. ..kuhusu ujio wa Denis Suarez, kitu ambacho Sven alikikataa kabisa

Kuanzia hapa kukawa na maneno, suluhisho ikawa Huwez kumuondoa kocha , wakuondoka ni Sven ,
 
bonge moja la interview kati ya Ian wright na Dennis Berkamp...ni amazing yani nmeangalia mpaka inakuja kuisha sitamani iishe.

 
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger anaamini Bayern Munich "walimlaghai" mshambuliaji wa Ujerumani Serge Gnabry, 24, ili kuihama Arsenal mwaka 2016. (Goal.com)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…