Mbona sielewi tunachokicheza, ni kwamba tumekuja kuendeleza record ya kutokushinda old traford kwa kipindi kirefu au tumekuja kujaribu bahati?
M.Guendez anaenda sana mbele na Xhaka anakaa sana katikati anashindwa kutanua uwanja, mipira mingi ya maadui inapitia pembeni.