Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila la kheri timu yangu Man United[emoji813][emoji813][emoji813]

Come one United[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Mechi inaboa hata kuangalia.. Hamna tunachocheza.
Mtapata tabu sanaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
 
Haya kila siku tutasema Xhaka akiwa ndani huwa hamna la maana haya hakuna creativity kabisa haya timu Mbovu inatufunga
 
Timu haieleweki inatengeza mashambulizi kupitia wapi, viungo or pembeni. Kama tunashindwa kuifunga Man hii mbovu kuliko sisi sijui..
Hamna cha gonga wala nn, tuna pelekwa mputempute ad bas
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…