Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kikosi kizuri sana hicho,Ningekuwa mimi ndio kocha Leo ningepanga kama ifuatavyo.
Leno
Chambers, holding, papa, Tierney
Guendouzi, torreira, Xhaka
Ceballos
Pepe, auba
Sub zangu ningekuwa na ozil for ceballos
Martinelli for pepe
Saka for ceballos
NB: Sub zitategemeana na matukio ya uwanjani such as injuries, underperformance, goal seeking.
Hayana.Kwani ndugu haya maongezi yetu hapa jukwaani yana impact gani kule London???
Bellerin asianze hata Holding pia, hawa wametoka kwenye injury za muda mrefu, na mechi kama hii inakuwa na intensity kubwa, tunaweza kushangaa wanarudi injury tena.Emery amesema atamchezesha AML badala ya Bellerin, hii ni habari mbaya kwangu
Alichofanywa watford na mancity ndo nakufanya wewe
Angalia lakini,kumbukumbu zinaniambia mimi ndio mwenye tabia ya kukufanya wewe mambo jirani yangu aliyomfanya Watford. 😂😂 |
Acha pumbaPepe:- "Napenda sana mbio, napenda kasi, hizi mbio muda mwingine zinanipa kizunguzungu najikuta nazunguka bila P.o BOX"
Naanzaje kujifananisha na gunners mzee. Nyie wachumba tu izo mickey mouse cups zinawapa jeuri? Mimi nina Europe Cups za kucheba
Kama ni kweli huyu kocha atakuwa ana dharau na ni mk****Emery amesema atamchezesha AML badala ya Bellerin, hii ni habari mbaya kwangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaaaaa nilikuwa napitia sehemu jamaa nao wameweka possible lineup yao yaani hapa nimecheka hatari yaani kama ndio kujilipua ndio hivi basis Muhindi ametisha View attachment 1220009
Papaa amewekwa golini then lt11 anamaliza na kola,