Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aaron naww unazingua, kelele tunazopga kila siku hapa naww ndo kiongoz afu una suggest yaleyale ya torreira kula benchi bwashee vp
 
Arsenal ingekuwa na players wenye mentality kama

Guendozi
Auba
Tierney
LT11

Tukipata first 11 zenye mentality km hizo tutakuwa mbali..

Geundozi gemu ambazo tulizidiwa vs spurs na vs aston villa yeye ndo gemu alizoonesha ukomavu na kuiyongoza timu kupata matokeo

Auba sina cha kumwelezea tunajua wenyewe upambanaji wake

LT11 nadhani mnafaham shughuli yake japo kocha amekuwa akimtumia sivyo coz uruguay na hata sampdoria alikuwa anakaa mbele ya ile back 4 na kuwalinda na sio box to box au kumweka kama right midfielder emery anakosea sana ila ni fighter anapambana mpaka dakika ya mwisho

Tierney bado hatujamwona sana ila tangu akiwa celtic jamaa ni winner ana ile spirit ya kupambana...mtamwona vzuri leo


 
Aaron naww unazingua, kelele tunazopga kila siku hapa naww ndo kiongoz afu una suggest yaleyale ya torreira kula benchi bwashee vp
Hahahhaha hapana mkuu LT11 nimemuweka bench maana najua UNAI hawez kumuanzisha , piga UA Leo Xhaka Mateo ndani ,
 
Hahahhaha hapana mkuu LT11 nimemuweka bench maana najua UNAI hawez kumuanzisha , piga UA Leo Xhaka Mateo ndani ,
Mechi ngumu hii nafkr hana chaguo lazma aweke mashine hio, kama ata force itabd, lt11, xhaka, gundeouz waanze kati kwa pa1, cabellous pepe, auba waongoze mashambulizi mfumo 4-1-4-1
Leno
Berellin, chambers holding tierney
Torreira
Pepe, gundeouz, xhaka, cabelous
Auba
 
Hii defence tamu sana
 
Bellerin hachez kabisa , hata sub sidhan kama atakuwepo,hayupo fit 100%, amecheza juz mech ya u23 dk zote 90.
 
Red iliisha game na Forest ,na hakuumia sana ,mazoez kafanya full .

Bellerin hatakuwepo, kama Niles hataanza bas namba 2 atapiga chambers , CB watapiga luiz na holding, LB tierny
Kwann bellerin hayupo
 
Kwann bellerin hayupo
He won’t be playing tonight but Bellerin is set to make his first start since his ACL injury on Thursday night at home to Standard Liege.(James benge)


Yupo ila hana match fitness , na ni risk kucheza hiyo mechi, ataanza mech ya alhamis

Jumamos amecheza dk 90 dhid ya Liverpool kwenye mech ya U23.
 
Nicolas Pépé speaks to Canal + about his €80m price-tag, how he feels about Lille's prospects & his decision to join Arsenal:


"It was something that might surprise people because they’re not in the Champions’ League."
 
Duuh
 
Nyie kitakachowagharimu leo ni kuja golini kwetu mbiombio. Tutawapiga vibaya sana.
 
Nakwambia hivi mulivyowapiga wadogo zetu zile 4 usifikiri kuwa tulifurahi,nakuja kukuWATFORD ili ujue kuwa wale sio yatima
Unamaamisha unakuja kunifanya ulichomfanya Watford?😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…