Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mkuu Saka kwa pepe bado sanaHuyu Saka kiukweli Pepe akilegea anaweza kushangaa dogo anamzidi katika kuscore na hata kutengeneza nafasi. Kama mambo bam bam wanaweza kubanana wote ile wing ya kulia.
Anyway kesho tunamhitaji Ceballos, Torreira na Guendouz pale kati (Naona Relief Mirszka akitabasamu) Ceballos na Torreira kwakua hua hawasiti kushoot nje ya 18 na De Gea siyo mzuri kwa mipira hiyo. Pia ni wakabaji wazuri, wana speed hivyo wataziba weakness ya Guendouz ambaye yeye ni mzuri kwenye duel na kusprint kwenda mbele.
Back na forward tunajua nani ni nini ila hapo kati paimarishwe. Tufanye 4 3 3 kama Martnell atakaa kati, wing ya kulia asimame pepe, ya kushoto asimame Auba.
Tusijisahau tho tukawaimba mashabiki wao maana Arsenal hua tupo hot ila hawa jamaa hata wakiwa kwenye plane mode wakikutana na sisi hua wanachangamka balaa.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Pamoja mzeeAiseeeehhh hebu tutulie wazee ,maana wote ni wamoja ingawa haya ni ya kawaida na yanatokea popote katika mkusanyiko wa watu ila kiukweli haipendezi......
Jamaa aliteleza kidogo kwa kauli yake lakini hilo halijawa sababu ya mahali hapa paonekane uwanja wa fujo,
Nawaomba wakuu AMANI ITAWALE MAHALI HAPA......
Turekebishane kwa njia nzuri na lugha zenye staha......
COYG...
Mpuuz mama'ko
Mike Dean is in charge of the VAR for Manchester United v Arsenal.
Amazing.
Yaani hilo swali najiulizaga sipati jibu,Mustaphi alikuwa bonge la beki nashangaa ghafla sijui imekuwaje au sindano??????maana pale napo sipaelewi Gabriel hoi,Dino na Chambers ndio hao wanachechemea tuTena nahisi Mustafi ndiyo atakua wa kwanza kutafutishwa timu. Ingawa hichi kifaa sijui kilikosea wapi.
Pepe vs SakaMkuu Saka kwa pepe bado sana
Pepe ni habari nyingine ile
Ni swala la muda ,tayari Auba kashamfungulia code
Hata lacazette alianza hivi hivi ilimchukua muda sana kuanza kutupia
Kesho njoo ushuhudie Wan bisaka anavyopata tabu kwa pepe
Saka namuelewa sana na Sishangai kupewa namba 7 maana anaonesha ana kipaji kuliko Nelson na Willock
Ila ni dhambi kumfananisha na Pepe,
Mpaka sasa nilichoona pepe Bado anakitafuta ni ile kulenga goli kwa usahihi ,
Maana kama kukokota mipira anakokota
Kutengeneza nafasi za kufunga anatengeneza
Pace
Speed
Anazo za kutosha
Ila akipiga kulenga goli anakuwa off target sana
Sasa hilo ndio wengi wanamuhukumu ,ni swala la muda
Narudia njoo kesho SAA 4:00 uone wan bisaka atakavyokuwa anapata taabu
Hali si hali kwa watani wetu. Kocha anadai wachezaji wanamfanyia kusudi mpaka wakatolewa Carabao na wachezaji wanasema Pochetino anavizia upenyo wa kwenda Man U. Hapo hapo Spurs wanamuwinda kocha wa Uingereza, Southgate, aje kurithi mikoba ya Pochetino.
Arsenal hatuitamani ruti hii.
Hahaha wazee mi nilisema endapo Pepe atalegea. Sijamaanisha kwamba Saka anafikia skill, pace, stamina na decision making ya Pepe. Ila hiyo ni kwa sasa, kufikia mwezi wa pili tutakua na maneno mengine.Pepe vs Saka
Dah aiseh haya...tusubiri muda ni hakimu mzuri na hajawahi kosea ,
Mkuu pepe yule mech 5 mshaanza kumtabiria kulegea?Hahaha wazee mi nilisema endapo Pepe atalegea. Sijamaanisha kwamba Saka anafikia skill, pace, stamina na decision making ya Pepe. Ila hiyo ni kwa sasa, kufikia mwezi wa pili tutakua na maneno mengine.
Ila Saka, Willock na Nelson bora Saka.
Hahahah haihitaji muda , Saka anatakiwa ajifunze vitu kwa huyo MTU, na timu imemuamin imempa jez namba 7Pepe vs Saka
Dah aiseh haya...tusubiri muda ni hakimu mzuri na hajawahi kosea ,
Nanusa harufu ya penalty keshoMike Dean ni fala sana linapokuja suala la Manchester United.
Jama ni Nyumbu damdam huyo
Tierney acheze amwage maji pale kati wakina Auba waogelee.Petit
Arsenal have a very good opportunity to win at Old Trafford
This match is very important, and it’s a good time to be playing Man United.
There will be open spaces behind the United backline and with the speed of Arsenal’s forwards, they’ll get chances.
Go Arsenal Go
Akianza huyo ,pale kati kikawekwa kiungo cha Mateo-lt11-ceballos mbele Saka -auba-pepeTierney acheze amwage maji pale kati wakina Auba waogelee.
Maalim wangu aliyenisomesha elimu ya mjadala (mnakasha) alikuwa akisema ukiona mtu anatoa lugha chafu jua kashindwa hana hoja.Mpuuz mama'ko