Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mzee hapo hakuna vigezo.Unatumia vigezo gan kumtetea kocha kama emery?
Hali gan halisMzee hapo hakuna vigezo.
Ni hali halisi tupu.
Zidane alipokabidhiwa Madrid mwanzoni alihojiwa akasema hua inafikia hatua hua nawaambia wachezaji wangu wacheze wanavyojua ili mradi tupate matokeo.Hali gan halis
Leta hoja za emery kutufikisha mbali
Mm nilishakupa hoja muhimu emery hafai kwa Arsenal na hawez kutufikisha popote
Nikakwambia Emery anavuruga falsafa ya arsenal
Mpaka sasa timu haijulikan inacheza NINI
Nikakuuliza Je kocha ambaye hana falsafa ,wala mfumo unawezaje kumpa muda?
Unapowataja kina klopp,pep ,na hata lamapard kumbuka tayari walionesha mwanga ,hivo ni rahis kuwapa muda
Emery mpaka sasa anataka kutuaminisha Xhaka ni namba 6 mzuri kuliko lt11
Unaanzaje kumtetea kocha kama huyu?
Umeongea Vitu vingi ambavyo umechanga ukweli na uongo ,ila lengo mama ni Kutetea Upumbavu wa emeryBaada ya Benitez kutoka Liva, ikapata makocha wa hapa na pale mpaka ikatulia kwa Klopp. Man U baada ya Alex kutoka wakazurura hapa na pale na saa hii wameangukia kwa Ole ambaye naamini ataondoka soon.
Chelsea wanaenda na kurudi kwa Mourinho, safari hii wametua kwa Frank, binafsi naamini siyo kwa kupenda isipokua wamekosa established coach ambaye angekubali kufundisha klabu isiyosajili.
Arsenal tumeachana na Arsene kaja Emery naona ghafla tuna hamu ya kuipita ruti waliyopita wenzetu. Ajiri, Tema, Ajiri, Tema tena. Yaweza kua Emery hatoshi lakini hapo ni tumemuweka sahani moja na Man City, Liverpool (Nimetaja hizi timu mbili kwakua ndiyo zina uhakika wa kushinda zinapocheza na timu nyingine) lakini kati ya hizi timu kuna moja ilijengwa kwa uvumilivu, trial and error mpaka wakafika wanapopataka halafu nyingine imejengwa kwa pochi.
By the time hizi timu zinajijenga, kwa pochi na kwa uvumilivu, sisi hatukua popote katika hayo makundi 2. Pesa hatukutumia na vipaji tulikua tunaviuza, hatukutumia pesa kuleta wachezaji wakali na vilevile hatukua na timu iliyosukwa kwa muda mrefu. So saa hii Emery ana timu ambayo imefungua pochi kidogo na ina makinda, ninachoona anajaribu kuwork out nani ni nini katika kila nafasi. Xhaka kuchezeshwa namba siyo yake siyo tukio la kwanza duniani, Henry alivyochezeshwa kama striker na Arsene hakuanza kuscore ghafla, ilichukua muda mpaka akawa tunayemjua leo.
Mgano tunajua kua mtu unahitaji beki wa kulia na kushoto wanatakiwa kua na speed kuliko CB ila Chambers hana speed ingawa ni beki mzuri. Mimi ningekua kocha nikicheza na baadhi ya timu siwezi kumpanga Chambers awe beki wa pembeni ni nitamweka CB au DMF. Emery anashinda na hawa watu karibia kila siku ni anajua nani ni nini katika nafasi anayompa.
Ingekua Man U ndiyo inalalamika kuhusu matokeo ningeelewa sana, kwanini? Kwasababu wametumia pesa nyingi karibia na Man City waliyotumia wanalipa wachezaji mishahara mikubwa lakini bado timu yao siyo tishio.
Miki nasema Emery ni kocha tena mzuri tu. Arsene alikuja akitokea Japan, na hakuna aliyejua huko alipotoka alifanya nini and the man turned out to be a legend. Emery hata historia yake ipo ila kumvumilia ndiyo mtihani au siyo? Kisa? Hajui kikosi. Nakumbuka fainali na Chelsea ya Europa kikosi alichopanga ni kilekile mashabiki tulikililia, tukafa nne, na huyu Ozil anayeliliwa hapa yumo.
Tukaga tatu na Leicester, tukafa 2 - 1 na timu jina limenitoka. Mimi nikisema Laca na Auba waanze hua simaanishi tunashinda hua namaanisha na sisi tunakua na fighting chance. Nikisema Matteo miyeyusho simaanishi asipokuepo tutashinda ila namaanisha akiwepo anaua fighting chance kwa ukosefu wake wa stamina na control.
Naamini baadaye kidogo tukitoka kwa Emery tutaenda kwa Luiz. Luiz ni mkabia macho kama Mustafi, na msababishaji penati mzuri tu. Tukitoka hapo tutaenda kwa Pepe, hajascore mpaka leo wakati Nketiah mechi moja tu kascore, Saka kashascore, tusihesabie la penati.
Hoja yangu ni kua arsenal bado tunajijenga, matamanio yetu yakae kando kama kusajili hata Totenham kasajili lakini maisha yake wote tunayaona na Efl kashatolewa.
Tuache mihemko.
Acha tu Mhindi ni mbishi sana sanaLeo emery anampa ukapteni xhaka
It means Xhaka atakuwa regural starter
Kwahiyo tuendelee kuzoea makosa yakiendelea kufanyika , penalty zinasababishwa
Huyu Ndio kocha ambaye tunaaminishwa Anaijenga timu......
✓ Boo'ed off the pitch (vs. Villa)
✓ Committed the most fouls for the club this season (13)
✓ Most carded player since joining the club (28)
✓ Gave away a penalty in arguably Arsenal's biggest game of this season (vs. Spurs)
The new Arsenal captain everyone!
Hivi anayewadanganya Emery kaimprove nani? Ange improve timu ingerud Europa tena?Zidane alipokabidhiwa Madrid mwanzoni alihojiwa akasema hua inafikia hatua hua nawaambia wachezaji wangu wacheze wanavyojua ili mradi tupate matokeo.
Na alishinda vikombe vya Uefa.
Kwa watu wengine wanaweza sema Zidane ni kocha mzuri kuliko Emery kwa ajili ya Uefa. Lakini kocha ni mikakati, anapofeli ni inamaanisha kocha mwingine ana mikakati kuliko wetu, haimaanishi ni mbovu. Swala la mwanga mbona kuna mdau kwenye nyuzi hizi hizi alisema Arsenal ya Emery ina mafanikio kuliko ya Wenger na takwimu zikatolewa, unataka mwanga gani mwingine?
Bale alikua namba 11 Andres Villas Boas akamrudisha nyuma kidogo kwa kuona speed ya jamaa. Na ni msimu huo akang'aa vibaya mpaka Madrid wakamchukua. Auba alikua winga originally leo hii ni striker. Hizi za mchezaji kubadilishwa namba siyo jambo la kusema kocha ni mwehu, ni zipo tu.
Falsyafa yetu ilikua mpira wa pasi na kuumiliki na kutamba nao hafi kwenye boksi. Ila Pasi nyingi zilitusaidia nini mbele ya Barcelona? Bayern? Man U iliyotupiga nane? Unapata falsafa ya timu kulingana na wachezaji ulionao.
Liva counter attack ni sehemu yao ya mchezo tofauti na sisi. Hii inatokana na wachezaji walionao, sisi Guendouz huwezi kumtegemea kukimbia na mpira kutoka dimbani hadi kwenye boksi bila kupokonywa. Ila enze za Walcot, Henry hata sisi ilikua sehemu ya mchezo.
Tusubiri game na liva na man u.
Kuna MTU anasema Emery anajenga timuAcha tu Mhindi ni mbishi sana sana
Samahani unacheza magemu ya Mpira? Mfano Playstation 2, 3 au 4?Umeongea Vitu vingi ambavyo umechanga ukweli na uongo ,ila lengo mama ni Kutetea Upumbavu wa emery
Unasema Xhaka kuchezeshwa DM ni swala la muda tu atakaa sawa kama Henry alivyotoka winger to CF?
Huu ni uongo uliotukuka wenye lengo la kutaka kudanganya watu kuwa Emery ni kocha sahihi.
Kwanini nasema hivo?unatakiwa ujue Wenger alikuwa ni kocha anayewajua wachezaji kuliko wao wanavyojifahamu ,ndio maana wengi aliwabadili namba na wakafanya vzr kama kina kolo toure,eboue , rvp ,
Emery hawajui wachezaji hata kidogo .
Xhaka msimu wa 3 huu anacheza DM alianza chin ya Wenger ,a kashindwa na kuna sababu maalumu alichezeshwa DM , Wenger anapoondoka aliacha ripoti ambayo Arsenal ilibid waingie sokon kuleta DM , Kwa £26m LT11
EMERY kaendeleza makosa Yale Yale kumchezesha Xhaka DM ,
Na ameikost team magoli mengi,ameikost back 4 sana ,
Wewe unasema atabadilika ,nikwamba tusubiri misimu mingapi?
Nadhan umeona Emery ni kocha wa aina gan asiyejua Wachezaji wake ,
Unazungumzia kuwa emery alipanga kikosi kizuri fainal ya Europa,
Ulifatilia kweli mech za mwisho kila siku alikuja na mfumo mpya ,
Hicho kikosi kizuri alipanga wapi? Ikiwa kila alipotumia washambuliaji wawili hatukufungwa na takwimu niliziweka humu,ila fainal alikuja na 3-4-2-1 mfumo ambao unafanya auba awe mpweke .
Na ndio maana Ozil alimwambia WEWE SIO KOCHA
Unataka timu usiwe inafukuza ,hivi unadhan Liverpool bila kumfukuza king ken,Rodger w angekuwa hapo walipo sasa?
Kocha walau angeonesha basi ana vision
Kocha hana falsafa yoyote ile
Leo hii nikikuuliza Arsenal inacheza falsafa gani huwez kunijibu na uhakika 100%
Wachezaji inasemekana Hawamuelewi
Juzi Chamber kakataa kufata maagizo yake
Mech na Astonvilla wachezaji waliamua kujitoa binafsi ,Baada ya half time timu limefungwa 1-0 na red card juu, Emery anawaambia WACHEZAJI wakazuie timu isifungwe mengi nyumban
Wachezaji w anarud wanashambulia timu inashinda 3-2
Leo unatuambia Emery ni kocha mzuri
Sifa za kocha mzuri nadhan huzifahamu
Dirisha hili Kapewa £140m
Bado timu haijulikan inacheza NINI.
Naomba niishie hapa nitakuja kukujibu mengine baadae
Emery anamzidi wenger mafanikio yapi ??Zidane alipokabidhiwa Madrid mwanzoni alihojiwa akasema hua inafikia hatua hua nawaambia wachezaji wangu wacheze wanavyojua ili mradi tupate matokeo.
Na alishinda vikombe vya Uefa.
Kwa watu wengine wanaweza sema Zidane ni kocha mzuri kuliko Emery kwa ajili ya Uefa. Lakini kocha ni mikakati, anapofeli ni inamaanisha kocha mwingine ana mikakati kuliko wetu, haimaanishi ni mbovu. Swala la mwanga mbona kuna mdau kwenye nyuzi hizi hizi alisema Arsenal ya Emery ina mafanikio kuliko ya Wenger na takwimu zikatolewa, unataka mwanga gani mwingine?
Bale alikua namba 11 Andres Villas Boas akamrudisha nyuma kidogo kwa kuona speed ya jamaa. Na ni msimu huo akang'aa vibaya mpaka Madrid wakamchukua. Auba alikua winga originally leo hii ni striker. Hizi za mchezaji kubadilishwa namba siyo jambo la kusema kocha ni mwehu, ni zipo tu.
Falsyafa yetu ilikua mpira wa pasi na kuumiliki na kutamba nao hafi kwenye boksi. Ila Pasi nyingi zilitusaidia nini mbele ya Barcelona? Bayern? Man U iliyotupiga nane? Unapata falsafa ya timu kulingana na wachezaji ulionao.
Liva counter attack ni sehemu yao ya mchezo tofauti na sisi. Hii inatokana na wachezaji walionao, sisi Guendouz huwezi kumtegemea kukimbia na mpira kutoka dimbani hadi kwenye boksi bila kupokonywa. Ila enze za Walcot, Henry hata sisi ilikua sehemu ya mchezo.
Tusubiri game na liva na man u.
Usifananishe magemu na mpira halisi aisee utakwamaSamahani unacheza magemu ya Mpira? Mfano Playstation 2, 3 au 4?
Criteria za wewe kumchagua mchezaji namba fulani zinabase kwenye nini ukimlinganisha na mwingine?
Maana kama Arsene alimjaribu jamaa kama DM na Emery kafanya hivyo hivyo hiyo inamaanisha kua huyu criterias zake zinamtosha kuwa DM, kutofit ni swala jingine.
Una wachezaji maandazi automatically falsafa yako itakua ni kulinda na kuscore kwa counter. Shida ni kwamba hatuna wa kutusaidia kuscore kwa kaunta.
Kuniambia kua nimeongea uongo huku sababu ni eti Emery hawajui wachezaji haina mantiki. Kwa sababu unamuongelea mtu ambaye anashinda na watu daily na anaona uwezo wao.
Nilishasema kua kutumia 3 4 1 2 ilikua mahsusi kuziba pengo la uhitaji wa RB na LB ambao walikua majeruhi namna pekee timu ingecheza ni kwa hiyo formation. Na hiyo formation kwa jinsi ilivyo automatically timu ni itakaba tu kwa hawa 3 hua ni CB hawa 4 hua ni Right / Left wing back na DMF wawili huyo 1 hua ni Amf na 2 CF.
Sasa Ozil analalamika nini ikiwa hiyo ni mbinu ya kocha kupambana?
Emery anamzidi wenger mafanikio yapi ??
Jamaa acha ubishi,.
Gazidis wakati anamleta Emery aliaminisha watu anamleta kocha atakaye endeleza falsafa ya Arsenal, sasa wewe unakataa nini kuwa kashindwa kucheza mpira ambao Arsenal tuliuzoea?
Kama kashindwa kwenda na Falsafa ya Club maana yake hatufai na wala hatumhitaji. Wapo makocha wataleta mafanikio ndani ya falsafa hiyo inayomshinda yeye.
Wazee mi sina cha kuongeza.Usifananishe magemu na mpira halisi aisee utakwama
Xhaka alichezeshwa DM baada ya arsenal kuwa na ukosefu wa DM asilia , na aliconcede magoli 51
Msimu unaofata analetwa DM emery anaendelea kumtumia XHAKA kama DM bado anaconcede tena magoli 51
Na wakati klabu imemletea LT11 AS DM ,
Huoni kama kocha ni Wa kulaumiwa?
Unaposema anashinda nao kila siku ,unadhan ndio hakosei?
Mbona hao wachezaji wanamuumbua
Mech na Watford anamtoa OZIL NA CEBALLOS waliokuwa wameikamata game anaingiza watoto wake ana pigiwa mashuti 30+
Kwahiyo u sidhan kukaa nao bas ndio hakosei
Narudia tena swala la mchezaji kubadilishwa namba na kumfit sio la kila kocha , Nimekwambia Wenger alikuwa anawajua wachezaji kuliko wao wanavyojijua
Ndio maana alimtoa henry from winger to CF na baada ya mech 9 anaanza kuscore
Anamtoa Rvp from winger to CF na anakuwa moja ya mastriker hatari
Anambadili kolo toure na kuwa CB had timu ya taifa ,na kina eboue n.k
Na wanachukua muda mfupi,
Wewe unatimia kigezo hicho kwa EMERY kutumia xhaka kama DM ,kwamba atabadilika , hahahahahaaaa
Unajua msimu wangapi huu kwa Xhaka hapo Arsenal?
Nilikwambia alipo tumia mastraiker wawili timu ilibalance na ilipata matokeo ,alitumia 3-4-1-2 ozil akicheza nyuma ya Laca na auba
Tukaenda Baku akaja na 3-4-2-1 akavurunda
Rejea kwenye ligi mech 8 ambazo alihitaji point 4 alizikosa , kila mech alikuja na mfumo wake
HUYU NDIYE KOCHA UNAYESEMA ANAIKENGA TIMU?
Hawa jamaa wanadhan tunasahauEmery anamzidi wenger mafanikio yapi ??
Jamaa acha ubishi,.
Gazidis wakati anamleta Emery aliaminisha watu anamleta kocha atakaye endeleza falsafa ya Arsenal, sasa wewe unakataa nini kuwa kashindwa kucheza mpira ambao Arsenal tuliuzoea?
Kama kashindwa kwenda na Falsafa ya Club maana yake hatufai na wala hatumhitaji. Wapo makocha wataleta mafanikio ndani ya falsafa hiyo inayomshinda yeye.
Wenger hajaikuta hiyo falsafa ,Wazee mi sina cha kuongeza.
Kama mnamtaka kocha mwingine naamini mtakutana na watu wengine ambao wana maono kama hayo.
Wenger ile falsafa aliikuta. Emery kaikuta, kama kwenye mkataba inasemwa falsafa ni kipengele cha kuvunja mkataba basi tujiandae kumuaga.