Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kikosi kikipangwa vzr ,hasa hawa mabeki waleo waanze kwa asilimia kubwaMimi na wewe tunajenga nyumba moja. Hatuna haja ya kugombea fito.
Wawe wanapress au hawapress watajua wenyewe as long as ninajua kua mpiga kros na faulo Young hamfikii Tierney. Striker wao ana misimu mitatu na nusu lakini kujifunza kutokana na makosa hawezi hivyo watajua wenyewe.
Am out.
Martnell na Auba naona namna yao ya kuscore inafanana. Ni kitu poa. Ila tunahitaji striker mwingine kariba ya Lacazette.Chambers atakiwi kupigwa benchi tena mpaka kiwango kitakapo drop, martinel achukue namba ya nelson ikiwezekana j3 aanze kwenye front three iwe pepe, auba, martinel
Chambers asipoanza mechi ya Man U nitamuona Emery boya sana...Chambers atakiwi kupigwa benchi tena mpaka kiwango kitakapo drop, martinel achukue namba ya nelson ikiwezekana j3 aanze kwenye front three iwe pepe, auba, martinel
SANTI Anajua sana sana,muda wote unaejony kumtazama akiwa na mpira mguuni.Jamani nimemmis SANTIAGO CARZOLA jana alipiga kazi ya mana pale CAMP NOU.....
Amini kwamba jamaa anaingia katika vikosi vingi direct hapo EPL si arsenal,chelsea,liverpool,hao manchester united ndio mpaka ucaptain anapewa na mshahara wa 500k kwa wiki yaani hakuna wa kumuweka mbao ndefu......jamaa anajua haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
Watu wapo back line pamoja na middle wote wanajua kupga long ball, vibelenge wapo auba na pepe, nakfkr kikwazo n playing style yetu ya unao unao mpaka golin ata kujarbu nje ya box hamna wakat watu wa mizinga wapo, cabelous, xhaka. So n philosophy tu ya mwalimuNahisi timu yetu haiwezi kufanya counter attack.
Nimeshuhudia timu ikiwa na Auba na Laca, na Auba peke yake, na jana pia nimeona hicho kitu.
Yaani zile nafasi za striker kutoka mbio mpaka kufunga timu yetu haiwezi kabisa.
Tatizo ni falsafa ya kocha au watu tulionao?
Emery aaminki mzee, anaonaga kabsa kila akimuweka torreira timu inakuwa very solid kwenye defence lakn still bado anamsugua bench kila siku, sembuse chambers tumuombe tu MunguChambers asipoanza mechi ya Man U nitamuona Emery boya sana...
Karba ya lacca labda everton akija,. au nketiah akiivqMartnell na Auba naona namna yao ya kuscore inafanana. Ni kitu poa. Ila tunahitaji striker mwingine kariba ya Lacazette.