Subiri experiment za Unai Jumatatu. Xhaka na Guendouz lazima wataanza, Lt11 atakaa bench mpaka dakika ya 75 halafu tutaanza kuwalaumu mabeki.Kiujumla timu imecheza vizuri, wachezaji waliotoka majeruhi Tierney, Berallin na Holding mechi hii itakua imewaongezea kujiamini.
Kuna mambo Unai ni lazima ayajue;
Nafasi ya Toreila ni DM, kumpanga Xhaka ni kujitafutia lawama zisizo na msingi.
Martinelli ni azina yetu inabidi apewe nafasi gemu za EPL ili kuongeza uzoefu na stamina.
Hao Man U si maandaz kama sisi tu.Mmmmhhh....labda kwenye backline lakini sio timu nzima aseeehhhh,tatizo hawa watoto legelege mno
Kikosi chetu ni kizuri japo kina mapungufu machache hasa sehemu ya CB na DM.Unamjua UNAI unamsikia?
Njoo uone vituko mech ya OT jumatatu ,
Sijui LT11,OZIL ,walimkosea nini
Man u wana press sana, KAMA muhind unai akiweka DM lake Xhaka , lolote linatokea,Hao Man U si maandaz kama sisi tu.
DM hakuna tatizo, ila yy analazimisha xhaka awe DM,Kikosi chetu ni kizuri japo kina mapungufu machache hasa sehemu ya CB na DM.
Ila kutokana na ujinga wa kocha tulienae anatufanya tuishi kwa unyonge.
Unai ni kocha wa average timu sio mshindani, haiwezekani msimu wa pili sasa usiwe na first 11, philosophy na combinations za wachezaji.
Man U inapress? Hapana, siyo Man U hii.Man u wana press sana, KAMA muhind unai akiweka DM lake Xhaka , lolote linatokea,
Nafatilia sana mech za Man u , Tukiwawekea kule mbele
Gunduz lt11 ceballos ,ozil,pepe ,auba,
Wanakufa HALF TIME
ila kwakuwa UNAI ni mkurupukaji
DM xhaka , LW saka ,No10 Willock
CM gunduz ,
Tayari kashaweka Watoto walain wengi,
Man u watatupiga hata 4
Usiwe mbishiMan U inapress? Hapana, siyo Man U hii.
Nikecheki games zao zote. Ya mwisho waliyopata goli lililofungwa na greenwood goli lilikua halina mipango na strikers wana apengo
Aisee ni 5 - 0Dream night for Arsenal fans.
Win 4-0.
Youngsters Martinelli, Nelson and Willock score.
Holding scores on return.
Bellerin gets an assist.
Tierney shines on debut.
Tottenham get knocked out by Colchester.
Mimi na wewe tunajenga nyumba moja. Hatuna haja ya kugombea fito.Usiwe mbishi
List ya timu zinazopress Man u IPO ndan ya 5 bora
Wakati Emery anayejinasibu anafundisha pressing, Arsenal inashika nafas ya 19 kwa Ku press
Hivo DM ikilega itasababisha beki ipate kashikashi ya wale wapemba rashford na lingard,martial
Ila DM ikawa strong ,
Mpaka mpira unaisha forward za man u hutaziona