Yaani una beki wa asili kama Chambers halafu unampanga Maitland ambaye kila wiki anafanya the same mistakes. Unai hamna kocha for sure.Namuitaga. Mr.Iron man si mwingine ni Calum Chambers huyu mwamba namuelewa sana alikuwaga boya sana kipindi cha nyuma ila kadri siku zinavyozidi kusogea basi anazid kuwa mwamba nakumbuka akiwa fulham alipandishwa kutoka central Back kuwa Difensive mido na alichafua vilivyo na kuwa best player wa msimu pale fulham akarejea na Tuzo yake...
Binafsi naona ni wakati wake wa kukichafua pale Emirates dhidi ya frankfurt aliitendea haki namba ya Bellerin kiasi chake kuliko Niles Ni wakati wa Unai kuweka Beki wa 3 watakaporejea Belle na Dogo Tierney halafu kati aweke Luiz kama mtu wa ku clear mipira ya vichwa maana ana iwin sana.
Aweke Chambers chuma kushoto kwake na kulia aweke Sokratis Then full back wazee wa kumwaga maji belle na tierny wanapanda na kushuka .
ila Unai Out leave our TeamView attachment 1213837
Hatuna kocha pale ,bora hata lampard anamzidi vingi sanaYaani una beki wa asili kama Chambers halafu unampanga Maitland ambaye kila wiki anafanya the same mistakes. Unai hamna kocha for sure.
Angalia next game na Man kitu atakachopanga.
Mimi nasema kua nitaendelea kumpinga mpaka suala la stamina na control litatuliwe.Yaani ambao hawaoni Guendouzi anavyoiendesha gunners sasa hivi wana matatizo sana ukiwemo jamaa yangu Castr
Tukicheza na timu yenye viungo wanaojielewa au inajaza viungo kama City, Liva, Sheffield ndiyo Mat utaona gape la control na stamina linavyoicost timu
Aaroon, mbona uyu Alegri mpira wake kama wa mourinho na kama ana vi-DNA kama Emery hivi maana naye alipewa kila kitu alishindwa kufikia malengo ya kubeba UEFA.Hivi Arsenal wanasubiri hadi emery aboronge kabisa ndio atimuliwe au wanacheza kamari mpaka msimu uishe ndio wamtupie virago?
Alegri hana timu ,
Man u wakifukuza kocha brek ya kwanza kwa Alegri.
View attachment 1213838
10th [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1213673
Mimi hua siyumbishwi na idadi ya vikombe vya kocha kwakua wakati mwingine hua ni inakua mtu yupo at the right place at the right time mfano Zidane.Mkuu emery sio kocha wa kutufikisha popote , Emery ni kocha wakawaida sana
Emery hata kwa lampard namuona lampard ni kocha mzuri,
Emery mpaka sasa haijulikan Arsenal tunacheza mpira wa aina gani
Timu haikai na mpira hata kwa timu za kawaida
Emery ana u dhaifu mkubwa sana ,Hajui kusika defence hilo ni tatizo lake kote anakopita ,
Emery anabebwa na Zile Europa 3 pale sevilla chin ya mwamvuli wa Monchi.
Mkuu Alegri ni bonge la kocha ,Aaroon, mbona uyu Alegri mpira wake kama wa mourinho na kama ana vi-DNA kama Emery hivi maana naye alipewa kila kitu alishindwa kufikia malengo ya kubeba UEFA.
alafu ligi aliyokuwepo haikuwa na ushindani sana, ndo maana aliweza kutawala kwa muda mrefu sana.
badoo imani yangu ndogo sana kwake, kutupa mpira kama wa man city na kufikia malengo yetu ata kama akipewa muda mrefu sana.
Tukubali Emery tumepigwa, tunaitaji mtu ambaye ataweza kurudisha mpira nzuri na wenye mafanikio.
Binafsi naona mikel arteta, sababu huyu pale kwa Pep atakuwa product nzuri sana.
Emery out.
Hizo tetes za Simeon kuja arsenal uliziona wapi? Simeon hajawahi kuhusishwa kuja arsenal kwa Kiasi hicho unachosemaMimi hua siyumbishwi na idadi ya vikombe vya kocha kwakua wakati mwingine hua ni inakua mtu yupo at the right place at the right time mfano Zidane.
Kwahiyo hata bila hivyo vikombe Emery ni aina ya kocha anayehitajika Arsenal. Kumlinganisha na Lampard ni kumshusha mno, naamini ingekua Emery anafundisha Chelsea Kante angepata namba daily. Kiukweli Chelsea kwa mchezaji mmoja mmoja iko vizuri mno kuliko Arsenal, lakini wako wapi?
Teesi zilidai Diego Simeon anatua Emirates nikaona fresh mno kwakua timu yetu kukaa muda mrefu na Wenger kuliua spirit ya kupambana yaani kama tukawa na ganzi na kufungwa. Hivyo niliunga mkono ujio wa Diego kwakua jamaa anajua mno kujenga spirit. Sawasawa na Emery, sawasawa na Pochetino.
Tupo na anayestahili kuwepo. Tunachohitaji ni wachezaji zaidi kuliko kocha.
Hizo tetes za Simeon kuja arsenal uliziona wapi? Simeon hajawahi kuhusishwa kuja arsenal kwa Kiasi hicho unachosema
Emery sio kocha wa kutufikisha popote narudia tena
Ni kocha ambaye hawez Ku possess mpira
Ni Kocha muoga hata kwa timu ndogo
Kocha msimu wa pili hana first eleven
Hana falsafa yoyote inayojitambulisha
Haijulikan tuna press au tunacheza NINI
Kila mech anakuja na mifumo mipya ,
Mpaka sasa ameshatumia 4-3-3, 4-2-3-1 , 4-3-1-2 ,4-4-2 ,kila mechi anakuja na jipya ,na wachezaji anawahamisha ovyo ovyo ,
Leo atamchezesha namba 8 kesho 10
Mpaka sasa analazimisha XHAKA acheze DM ,wakati ndio chanzo cha errors zote .
Anamchezesha DI PASCUA box to box MD, wakati ni DM asilia toka akiwa sampdoria
Emery hadi sasa hajui aisuke vipi Back line ,huo ndio u dhaifu mwingine mkubwa
Unaanzaje kumtetea EMERY?
Lampard kuchukua timu juzi tayari ana kikosi cha kwanza ana mfumo unaoeleweka , ana falsafa inayoonekana ,hata Mwenye timu akisema anampa muda Unaona kweli yupo sahihi.
Tayari ameshaanzisha kutokuelewana na baadhi ya wachezaji kama Lacazette ,lt11 & ozil
Hivi anataka kutuaminisha wale watoto kina willock ni bora kuliko Ozil?
Unai ni kocha wa ovyo toka yupo VALENCIA ,
Hapo kuna andazi moja lilitoa assisst kwa mtu akafunga.Ukitaka ubingwa hata Top Four lazma ujifunze Kuzuia.
Hawa wahuni nyuma wanaibeba sana Liverpool.
Nyie Mnaompa dhamana Huyu muhindi emery maumivu bado hayajaanza .
Team sélection bado inakosewa kila siku mnaanza kusifia sub [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
angekuwa bora kimbinu watford alishindwa nn ? Kocha msimu wa pili kashindwa kusuka muunganiko wa defence,na midfield ,View attachment 1214025
Mbona unapwaya ,nan kakwambia OZIL wanacheza namba 1 na xhaka? Hivi mnafatilia kweli mpira ?Hata mimi ningekua kocha ningemchezesha Xhaka over Ozil why? Xhaka ana spirit na timu kuliko Ozil. Time Mat anaboronga sababu pekee inayomfanya awepo ni spririt na timu.
Ozil na Lacazette, Lacazette katoa assisst nyingi kuliko Ozil. Na Lacszette siyo kiungo. Lets face it kwamba Ozil ni mchezaji mzuri timu ikiwa ina mpira ikiupoteza inakua mtihani kidogo. Hua inasemwa siku Ozil akiwa vizuri hua inakua mara 2 ya kawaida akiwa hovyo hua inakua mara 7 ya kawaida.
Kwa kuliface tatizo la defence ndiyo sababu tulikumbatia sana 3 4 1 2 msimu uliopita. Hapo akajaribu kuficha pengo la Rob na Hector.
Kwa kuliface tatizo la defense Niles anakua forced kucheza RB.
Kocha ni mbinu. Ni kujua leo nakutana na timu hii basi nicheze vipi Wenger hakua na hilo yeye kila sehemu ni kushambulia.
Emery ni bonge la kocha. Kama tuna hamu ya kuitembea barabara ya Man u na Liva basi sawa.
Mbona unapwaya ,nan kakwambia OZIL wanacheza namba 1 na xhaka? Hivi mnafatilia kweli mpira ?
Ozil ni namba 10 , na haihitaji kukaba ,ikiwa tayari umemuwekea DM , na CM ,
Xhaka anaboronga kama hujui ni kwakuwa anachezeshwa OUT of position , Xhaka ni namba 8 , toka akiwa uswis na monglenbach
Alicheza DM chin ya Wenger baada ya kuwa na uhaba wa DM ,
Mpaka sasa anaongoza kwa errors
UBORA wa unai ni UPI hapo Arsenal ?
Timu haiposses hadi kwa timu ndogo
Timu inaruhisu shots 20+ kila game
Unajua kwa NINI?
Kocha had sasa haijulikan tunacheza Staili gan ya Mpira
Rvp amemwambia atengeneze Falsafa halafu awe na kikosi cha kwanza ,
Msikilize PETIT hapa na yeye akimuelezea huyo UNAI
Doesn’t know his best XI.Doesn’t have players intelligent enough to cope with changing positions and systems.Has failed again to address the problems with his back four.And has not been able to put his mark on his team as Pep Guardiola and Jurgen Klopp have at Manchester City and Liverpool.
Anaendelea kusema ,
Petit said: “I’ve not been impressed with what I’ve seen from Unai Emery in Arsenal ’s opening games of this season.
“I’ve watched every Arsenal match in 2019-20, though they’re definitely better than last year. They’ve done a good job in the transfer market, but they have requirements in defence, which has been the case for years now.
"We saw evidence of that against Liverpool where they were poor and short on
confidence.
MSIKILIZE RVP hapa ,WOTE tunaoangalia mpira kwajicho la tatu haihitaji kupepesa Macho,
Unai si kocha..
Van Persie told BT Sport: ‘It’s difficult to say because if you look at the teams under Wenger, Wenger’s teams always used to play from his philosophy.
‘You can see the same happening now with Jurgen Klopp and the same with Pep Guardiola at Liverpool and Manchester City.
HahahahaaaaaaaHapo kuna andazi moja lilitoa assisst kwa mtu akafunga.
Xhaka anajitoa kwa kipi ikiwa yy ndio chanzo cha errors zote ??Aaron point yangu ilikua kwenye kujitoa kuliko namba zao kufanana.
Nimezungumzia namna anavyodeal na shida ya defence kwa timu yetu.
RVP a nigga that slept on Arsenal's bed for years. Shone one season then gone just when the team needed him. Siwezi msikiliza sana.