Ukiangalia Kwenye Hiyo List ya Waliosafiri na Team Kwenda Germany Utagundua Mesut Mustapha Ozil Hayupo na Hakuna Sababu za Yeye Kutosafiri na Team
Ozil ni Mojawapo ya Watu waliowahi Kumwambia Unay Dhahiri Shahiri Kuwa Wewe Sio Kocha..
Ozil Sisi Wenyewe Arsenal Ndo Tunamuharibu Ila Pale Kwetu Hatuna Playmaker Kama Ozil Yule Jamaa Ukitengeneza Team Yako Kwenda Mbele Kwa Mipango sio Kiholela Olela Kama Unay ,Ukamiliki Mpira Vizur Atakulainishia Njia Za Magoli na Utafunga Magoli Yanayovutia na Mpira Wa Haja..
Sina Imani na Unay Emery
View attachment 1211280