Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Aroon, mimi na wasiwasi sana mourinho...ulempira alikuwa anaucheza man utd ni mbovu sana, alafu saivi amekuwa tia maji sana tofauti alikuwa Chelsea ya drogba.Arsenal inabid ifungwe kesho kwa maslahi mapana ya klabu ,kwanini nasema hivo? Iwapo itafungwa kesho joto la unai kufukuzwa litapanda hadi 1200 nyuzi centigredi .....kuna watu wataona haina maana lkn, iwapo atafungwa Presha itakuwa kubwa sana ,na hii itapelekea maamuz magumu kufanyika. Hilo kundi arsenal kwavyovyote vile atapita tu hata akifungwa mechi 2. ,Hivo kama unahitaji Emery afukuzwe ,basi ombea kesho tupigwe ,tena tupigiwe mpira zaid ya ule wa Watford. Tayari odds za Unai kufukuzwa zimeshafikia 1.5
Kamata Hii. Kwenye mkataba wa UNAI kuna kipengere cha break clause
Kipengele cha kuvunja mkataba bila malipo baada ya Miaka miwili .
Tuko mwaka wa pili hatutakiwi kumfikisha mbali.
Huyu tumalizane naye sasa hivi .
Usemacho kina ukweli ndani yakeAroon, mimi na wasiwasi sana mourinho...ulempira alikuwa anaucheza man utd ni mbovu sana, alafu saivi amekuwa tia maji sana tofauti alikuwa Chelsea ya drogba.
falsafa za Mou na arsenal ni maji na mafuta mzee, badoo tutakuwa hatujatatua tatizo kabisa!, jamaa ana mpira wa ovyo sana.
Daah!.. Mourinho hapana kabisaaaaa!.. Sipendi kabisa mpira wa kupaki busAroon, mimi na wasiwasi sana mourinho...ulempira alikuwa anaucheza man utd ni mbovu sana, alafu saivi amekuwa tia maji sana tofauti alikuwa Chelsea ya drogba.
falsafa za Mou na arsenal ni maji na mafuta mzee, badoo tutakuwa hatujatatua tatizo kabisa!, jamaa ana mpira wa ovyo sana.
Bora Domo kuliko huyu UnaiDaah!.. Mourinho hapana kabisaaaaa!.. Sipendi kabisa mpira wa kupaki bus
UNAI nishamkataa mkuu hata achukue EPL mimi hapana simtaki, nipo radhi tuwe na kocha yoyote ila sio huyu. Amevunja ile spirit niliyokuwanayo kwa hii timu.Ukiangalia Kwenye Hiyo List ya Waliosafiri na Team Kwenda Germany Utagundua Mesut Mustapha Ozil Hayupo na Hakuna Sababu za Yeye Kutosafiri na Team
Ozil ni Mojawapo ya Watu waliowahi Kumwambia Unay Dhahiri Shahiri Kuwa Wewe Sio Kocha..
Ozil Sisi Wenyewe Arsenal Ndo Tunamuharibu Ila Pale Kwetu Hatuna Playmaker Kama Ozil Yule Jamaa Ukitengeneza Team Yako Kwenda Mbele Kwa Mipango sio Kiholela Olela Kama Unay ,Ukamiliki Mpira Vizur Atakulainishia Njia Za Magoli na Utafunga Magoli Yanayovutia na Mpira Wa Haja..
Sina Imani na Unay EmeryView attachment 1211280
Ulikua na spirit gan na timu?UNAI nishamkataa mkuu hata achukue EPL mimi hapana simtaki, nipo radhi tuwe na kocha yoyote ila sio huyu. Amevunja ile spirit niliyokuwanayo kwa hii timu.
Unai anayasikia haya?Kocha gani hawezi kupambana na timu kubwa, kila siku yeye anakwambia "we are working to improve, we are working on our way "... paka lini tukupe muda gani wa kuimprove? unapoteza point game nyingi kizembe tu, afu unasema unaimprove ujinga au?
Spirit ya kushangilia chelsea inapoharibu, ila huyu jamaa ananifanya nakuwa mnyonge kwa sababu kwangu panaungua pia.Ulikua na spirit gan na timu?