Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kweli hata pengine Vieira au Arteta wangefanya yao.Alijifanyaga ki mbelembele kujitangaza kua mrithi wa wenger ata kabla ya waajr wake, as if ana uhakika na kazi yake kumbe hamna kitu n afadhali tungempata ronald koeman, tucheze pira la kiuholanzi, tujue moja
Mou atapewa mahitaji yake anayotakaMorinyo akija ARSENAL mpo tayari kumwaga pesa za usajili? Yeye anadeal kusajili mastar wa dunia. Mko tayari kumpa pesa ya kumnunua mbappe, kolabaly, eriksen, casamiro?
Mou tunamhitaji zaidi ya anavyotuhitaji, hanaga ujinga wa kuvumilia upumbafu, kwa MOU ni bora Aubameyang acheze beki kuliko sokratis kwa makosa yale anayofanya.Mou atapewa mahitaji yake anayotaka
Sasa hivi klabu inatumia hela
Mou na Alegri nawaelewa sana .
Mou ataongezewa mahitaji ya wachezaji sehemu chache sana ,Morinyo akija ARSENAL mpo tayari kumwaga pesa za usajili? Yeye anadeal kusajili mastar wa dunia. Mko tayari kumpa pesa ya kumnunua mbappe, kolabaly, eriksen, casamiro?
Hii comment imenifurahisha sana mkuu, Haahahaah! eti alijifanya kimbelembele kumbe hakuna kitu.Alijifanyaga ki mbelembele kujitangaza kua mrithi wa wenger ata kabla ya waajr wake, as if ana uhakika na kazi yake kumbe hamna kitu n afadhali tungempata ronald koeman, tucheze pira la kiuholanzi, tujue moja
Inabid mech ijayo apigwe , ili Wajiandae kumpa kaz Mou,Mou tunamhitaji zaidi ya anavyotuhitaji, hanaga ujinga wa kuvumilia upumbafu, kwa MOU ni bora Aubameyang acheze beki kuliko sokratis kwa makosa yale anayofanya.
Kitu kizuri ni kwamba Mou is a perfect man for arsenal, kwa sababu Bodi inamskiliza sana kocha anataka nini.Huyu Unai na support yote aliyopewa bado anasumbuka kwa timu kama Watford yenye kocha mgeni, very stupid!Inabid mech ijayo apigwe , ili Wajiandae kumpa kaz Mou,
Japokuwa mwisho wa msimu iwapo atabak Emery hawez kuongezewa mkataba
Mourinho ni kocha wa miaka miwili then anasepa. Arsenal inahitaji manager atakaekaa misimu 4 na kuendelea huku timu ikiwa kileleni.. Kwangu mimi Allegri ni chaguo sahihi zaidi kwa Arsenal. Mourinho atatupa ubingwa msimu mmoja then anaseps huku akituacha tunahangaika kama Man u.Inabid mech ijayo apigwe , ili Wajiandae kumpa kaz Mou,
Japokuwa mwisho wa msimu iwapo atabak Emery hawez kuongezewa mkataba
Yaani huyo beki ni kamasi kabisa.Mou tunamhitaji zaidi ya anavyotuhitaji, hanaga ujinga wa kuvumilia upumbafu, kwa MOU ni bora Aubameyang acheze beki kuliko sokratis kwa makosa yale anayofanya.
Naye Verde ni kama Unai, akiwa Camp nou kufunga 3-0 alipokuja Anfield akala 4-0IPO siku utaniambia pale hakuna kocha ,wachezaji gan sasa aletewe
Soon ataletwa mwalimu mpya ,
Emery ana madhaifu mengi sana
Hana falsafa yoyote
Anafundisha mpira mbovu ,
U dhaifu wake mkubwa Hajui kusuka defence
Akiwa PSG anaongoza 4-0 ,akaenda camp nou akala 6
Yule ni type ya kina emeryNaye Verde ni kama Unai, akiwa Camp nou kufunga 3-0 alipokuja Anfield akala 4-0