Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BREAKING:

Arsenal will be without Alexandre Lacazette for the rest of September as the striker struggles with an ankle problem.

SASA NI MUDA WA NELSON & MARTINEL KUCHEZA ,HUKU AUBA AKIRUDI CENTRAL FORWARD
Aube akiwa Central ni Different Animal, Very Deadly
 
Duuh! lacazette mechi ya MUN kuikosa tumewapunguzia mzigo, Hapo tunaanza kummiss IWOBI na MIKH upande wa pembeni huku.

AUBA naye akipata injury tumeisha maana hata Eddy katolewa Loan, Hapo ndio utagundua PEP huwa hapendi kutoa mchezaji loan kizembe.
Lacazette kuikosa mechi ya Man Utd nimekosa furaha maana lazima angewafanya kitu kibaya wale
 
EDU GASPER MKURUGENZI WA UFUNDI ( invincibles squad player 2003/2004)

edu gasper ni mbrazil huyu kati ya wabrazil waliofanya vizuri ndani ya kikosi chetu cha arsenal kubwa zaidi ni kuhusika na kile kikosi cha dhahabu

Kwa sasa ni mkurugenzi wa ufundi arsenal kazi kubwa ni kuhakikisha team inakwenda kulingana na sera na mahitaji yaliyopo

Edu ndie mtu anaefanya kazi karibu zaidi na coaching staff edu pia ndio muhusika wa maswala ya usajiri na scouting

Kocha anatoa mapendekezo wa kufanya kazi ni huyu na utofauti unaonekana kulinganisha na awali

Kaanza na willock mkataba mpya ebu tusubir mengine mazuri



Coyg
 
Umekosea mkuu, ipeleke jukwaa la Chelsea

Usipoipeleka nitawapelekea mm
We Tambitambi nimeshamalizana na Wolves tayari. Dogo Tammy kaondoka na mpira tena kwao wenyewe. Sasa nenda ukakutane nae wewe uone utakacho fanywa.
 
Hii taarfa nmeipenda kwa kweli, tuanze kutumia full mziki
 
I've said it before and Ill say it again. Donyell Malen really wanted to stay at Arsenal and fight for his place. He was willing to wait patiently for his chance. His idol was Bergkamp and he wanted to be an Arsenal legend too. Then got brainwashed by Mino Raiola....
 
Mino raiola alimshauri Huyu mtoto asiongeze mkataba, wakapige hela mbele ya safari

Donyell Malen vs Vitesse

18' goal

36' goal

46' goal

83' goal

89' goal


20 years of age. What a talent!
 
*Watford vs Arsenal*

Uwanja : *Vicaurage stadium*

Eneo: *London*

*London Derby nyingine n hii hapa*
vs


Mechi inayowakutanisha Watford na arsenal Leo n mechi ya EPL ambayo itapigwa nyumbani kwa Watford Leo jioni ....mechi hii inawakutanisha miamba ambayo inatokea jiji moja Na majirani wa vitongoji yaani vinca.. na colonel ambayo ni maeneo yaliyopakana pale London.

Watford wanaingia uwanjan Leo wakiwa wa mwisho kwenye msimamo wa ligi kutokana na mwendelezo wa matokeo mabaya waliyoanza nayo msimu huu....na ilo limepelekea kufukuzwa kwa kocha wao *javi Garcia* na nafas yake kuchukuliwa na aliyekuwa kocha wa Watford na espanyol anayejulikana kwa jina LA *Quique Sánchez Florenz* ambaye Leo anaingia kucheza mchezo wake wa kwanza na *Unai Emery* ndani ya EPL....

Maisha ya unai na florenz kule Spain yalikuwa sio mazuri sana kwa unai je Leo kipi kitatokea pale EPL???

Arsenal inasafiri kwenda ugenini ikiwa haina record nzuri sana kwa game za ugenini ila yote n kutokana na kikosi kinachokuwa kikipangwa na ubora wa wapinzani ndo maana haipati matokeo mazuri ukilinganisha yale yanayopatikana wakiwa Emirates.

Leo kwa Mara ya kwanza ndani ya msimu huu tunaweza kumuona *Maestro mesult oezil* uwanjani maana hana tatizo lolote na hajacheza mechi zote nne zilizopita.....

Arsenal itaundwa na kikosi ambacho huwa n ngumu kukitabiri pale kwenye kiungo na ushambuliaji ila naiman kubwa kuwaona pepe,Auba wakianza na MTU mwingine pembeni....kufuatia kukosekana kwa lacazete....upande wa beki n wale wale Niles, sead, luiz,sokratis.... Viungo taarifa zipo tofauti ila tutegemee kumwona Matteo akiwa ndani pia Leo na akisaidiana na caballos na wenzake.

Upande wa Watford wao hawana injury kubwa sana ila wanaweza kuikosa huduma ya striker wao *Troy Denney* ambaye yupo injury na pahala lake sasa anacheza *Daniel welbeck* ivyo tutegemee kuiona Watford katika sura yenye mabadiliko kidogo tu pale kwenye kiungo kutokana na ujio wa kocha mpya ila wachezaji wengine watacheza wale tuliowazoea kuwaona..... Kwann nmesema kiungo ?..... Apo nmesema kiungo kwa sababu ndo eneo kubwa ambalo kila kocha huwa analifanyia kaz likiwa LA kwanza maana ndo moyo wa team unapokuwa.


Arsenal imeshinda mechi tatu za mwisho ilizokutana na Watford.....

Watford hawajawai kupoteza mechi zao tatu za mwanzo za nyumbani toka 1992 ....

Arsenal imeadhibiwa penalty 9 toka msimu uliopita....

Watford wamepoteza mechi tano kwenye mechi zao sita za nyumbani walizokutana na arsenal.....


Kutokana na rekodi izo na ukiangalia ubora wa vikosi kila upande na mazingira ya mchezo n kwamba mechi itakuwa ngumu na yenye ushindani ila mwenye kuchanga karata vzur Leo ndo ataibuka mshindi.

Arsenal wana wachezaji ambao Leo wana ule uwezo nusu wa kuamua matokeo MTU mmoja na wanatakiwa wawe bora sana ...Watford pia wana hawa watu akina Pereira wanaweza kuumaliza mchezo muda wowote ivyo ubora wa pande zote mbili hasa mabeki wanatakiwa kucheza kwa umakini sana Leo.

Utabiri wangu kwa Leo naiona arsenal ikishinda mchezo huu.




Asante
 
We really need Alexandre Lacazette for Man United away, he's our best big game player and always works his socks off no matter what the circumstances are

Even if he's on the bench at least, that's fine by me.

I really hope he'll be fit by then
 
My starting XI for tomorrow:

4-3-3:
Leno; AMN, Chambers, Luiz, Kolasinac, Torreira, Guendouzi, Ceballos, Pépé, Nelson, Aubameyang.

Subs:
Martinez; Sokratis, Mustafi Xhaka, Özil, Martinelli, Willock, Smith-Rowe.
#WATARS

Thoughts?
 
HAWA NDO WACHEZAJI TUTAKAOWATEGEMEA
Katika Kipindi hiki ambacho LACAZETTE amepumzishwa ili awe fiti au apone sawasawa

hawa ndio wachezaji watatu tutakaotegemea

Pepe kulia
Nelson/saka/Martinel kushoto
Aubameyang Katikati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…