Ukweli ni kwamba Arsenal itamaliza juu ya Spurs, Chelsea na Man U.. Bahati mbaya kwenu Holding na Tierney wanarudi uwanjani soon.. Na kwa vile David Luiz ni mtaalam wa pasi na kuanzisha mashambulizi, atapandishwa mbele kidogo na kuwa DM, halafu tutaona mtapita wapi.. Kiukwel sasa hivi tunapoteza nexhi jwa sababu ya backline.. Uongizi tayari unalijua hilo na linafanyiwa kazi na January Upamecano anatua Emarates, halafu mmalize juu yetu, hebu kuwa serious kidogo buana!....Sijapotea, sema hujajiuliza kwanini Scholes haoni kama Arsenal itamaliza juu ya Man U?
Kwann msimu uliopita alionaje piaSijapotea, sema hujajiuliza kwanini Scholes haoni kama Arsenal itamaliza juu ya Man U?
Bora angesema man u ningemuelewa ,maana wanaweza January wakarud sokon,Ukweli ni kwamba Arsenal itamaliza juu ya Spurs, Chelsea na Man U.. Bahati mbaya kwenu Holding na Tierney wanarudi uwanjani soon.. Na kwa vile David Luiz ni mtaalam wa pasi na kuanzisha mashambulizi, atapandishwa mbele kidogo na kuwa DM, halafu tutaona mtapita wapi.. Kiukwel sasa hivi tunapoteza nexhi jwa sababu ya backline.. Uongizi tayari unalijua hilo na linafanyiwa kazi na January Upamecano anatua Emarates, halafu mmalize juu yetu, hebu kuwa serious kidogo buana!....
Ni kweli Arsenal bado ipo Owen's transitiin, tunajua hilo na ndio maana hatujasema Arsenal ni bora kuliko Liverpool na Man City . Lakini pamoja na mapungufu yetu hasa kwe beki lakini huwezi kutulinganisha name Chelsea na Man U.. Tottenham bado wanaweza kujipanga na kufanya vizuri naana wana kocha mzuri. Man U labda wasajili January, pia kocha anawaangusha.. Mourinho kaanza kuvizia kazi Arsenal!.. Unajua kwa nini?.. Mourinho anajua pale arsenal akiongeza CB na DM arsenal itakuwa katika level nyingine kabisa... Sasa usilete ushabiki eti kwa kuwa huipendi Arsenal hata uhalisia wa hali halisi ilivyo unashindwa kuuona!!!UKWELI NI KWAMBA MASHABIKI WA ARSENAL WANAIONA TIMU YAO INAWEZA KUBEBA KOMBE EPL, WAKATI VIONGOZI WA CLUB WANAONA TIMU INAHITAJI MUDA ZAIDI KUENDELEA KUJENGWA IWE SHINDANI KWA MANCITY NA LIVERPOOL KWANI KWA SASA BADO NI GARASA
Kwni pia msimu ulioisha Chelsea alimalizaje?Kwann msimu uliopita alionaje pia
Ni kweli Arsenal bado ipo Owen's transitiin, tunajua hilo na ndio maana hatujasema Arsenal ni bora kuliko Liverpool na Man City . Lakini pamoja na mapungufu yetu hasa kwe beki lakini huwezi kutulinganisha name Chelsea na Man U.. Tottenham bado wanaweza kujipanga na kufanya vizuri naana wana kocha mzuri. Man U labda wasajili January, pia kocha anawaangusha.. Mourinho kaanza kuvizia kazi Arsenal!.. Unajua kwa nini?.. Mourinho anajua pale arsenal akiongeza CB na DM arsenal itakuwa katika level nyingine kabisa... Sasa usilete ushabiki eti kwa kuwa huipendi Arsenal hata uhalisia wa hali halisi ilivyo unashindwa kuuona!!!
Kurudi sokoni hakuguarentee ubora na chemistry ya timuBora angesema man u ningemuelewa ,maana wanaweza January wakarud sokon,
Chelsea hata kumaliza juu ya Leicester city afanye kazi kweli kweli
Sasa Chelsea ile ya hazard ndio hii hata Sheffield anaimudu,Kwni pia msimu ulioisha Chelsea alimalizaje?
Kwa Chelsea hii bila kurud sokon ,tutakuwa tuna ibetia championshipKurudi sokoni hakuguarentee ubora na chemistry ya timu
Wakati unapayuka ,ukumbuke msimu huu hata top 10 itakuwa ngumu kuionaWachezaji wa Arsenal wakiingizwa kwenye kikosi cha Mancity wote watasugua benchi hakuna atakayeingia 1st eleven.
nelson mbona hajamjumuishaa kwenye squad!!?Full squad Europa View attachment 1199180
Atakuwa kaachwa,ngoja nifatilie vzrnelson mbona hajamjumuishaa kwenye squad!!?
Huo mlibganisho unaosema unafanyika mwisho wa msimu na siyo sasa. Kinachoendelea kwa sasa ni kuona progress uliyonayo itakupa nini mwisho wa msimu? Arsenal inaanza kuwa kama Utd akishinda mechi mbili tatu mnaanza kuona mmekamilika sasa.Ni kweli Arsenal bado ipo Owen's transitiin, tunajua hilo na ndio maana hatujasema Arsenal ni bora kuliko Liverpool na Man City . Lakini pamoja na mapungufu yetu hasa kwe beki lakini huwezi kutulinganisha name Chelsea na Man U.. Tottenham bado wanaweza kujipanga na kufanya vizuri naana wana kocha mzuri. Man U labda wasajili January, pia kocha anawaangusha.. Mourinho kaanza kuvizia kazi Arsenal!.. Unajua kwa nini?.. Mourinho anajua pale arsenal akiongeza CB na DM arsenal itakuwa katika level nyingine kabisa... Sasa usilete ushabiki eti kwa kuwa huipendi Arsenal hata uhalisia wa hali halisi ilivyo unashindwa kuuona!!!
Hayo mataputapu tulushayazoea huwa hayana point ya maana. Sina hakika kama kipa wao kaitwa timu ya taifa na hata akiitwa hawezi kuwaweka nje ter stegen na Neuer.Kipa ghari, Kepa Alizabaraga leo kadakia timu ya taifa ya Hispania huku De gea akiwa benchi. Alafu kuna walevi wanasema Kepa siyo kipa
Ndo wajue thamani ya Kepa inaonekana kwa wanampira siyo vinginevyoHayo mataputapu tulushayazoea huwa hayana point ya maana. Sina hakika kama kipa wao kaitwa timu ya taifa na hata akiitwa hawezi kuwaweka nje ter stegen na Neuer.
Kipa pazia, nilijua tu atatoa GG ,Kipa ghari, Kepa Alizabaraga leo kadakia timu ya taifa ya Hispania huku De gea akiwa benchi. Alafu kuna walevi wanasema Kepa siyo kipa