Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hawa ndio watu wachache wanaoleta maana mbaya katika neno 'ushabiki' yaani mtu upo serious kabisa unakomaa jesus ni zaidi ya LACAZETTE........na unaomba na takwimu kabisaaaaa khaaaaHahahhaha aweke yeye , Ana leta utan na lacazette .
Watu kama hawa ni wakuwapuuza , na kuwapita kama upepoHawa ndio watu wachache wanaoleta maana mbaya katika neno 'ushabiki' yaani mtu upo serious kabisa unakomaa jesus ni zaidi ya LACAZETTE........na unaomba na takwimu kabisaaaaa khaaaa
Weka wewe unayebisha ili kumthibitishia huyo unayembishia
Ndio maana wamemfurumusha wakakutane na mwenzake sanchez
ndio nini sasa?lete takwimu za msimu uliopita na uliopita ...sasa hicho ulicholeta ni takwimu au udaku..hhahahahahaha ila wewe ndio shabiki wa pekee wa liverpool ambaye huna idea na soka inaonekana unaishabikia liver kwakuwa inakupa pesa katikabetting kama mashabiki wa man city na wale wa leicester city walivyopatikana ........hivi wewe ni kops kweli? mbona unadhalilisha wenzako?ngoja nimuulize mwenyekiti wenu MosDef au katibu wenu King Ngwaba kama wanatambua uwepo wakoLacazette, a 28 years old striker has 70 appearances for Arsenal with 29 goals
Jesus, JUST A 22 years old striker has 69 appearances for Manchester City with 28 goals
Huyu jamaa mfatilie ni Barcelona fan,ila kwakuwa EPL imeshika kas bas huwa anapumzikia Liverpool ,juz alisema lacazette hawez kuisaidia arsenal maana hana uwezo wa kuifungia arsenal goli 20 ,ndio nini sasa?lete takwimu za msimu uliopita na uliopita ...sasa hicho ulicholeta ni takwimu au udaku..hhahahahahaha ila wewe ndio shabiki wa pekee wa liverpool ambaye huna idea na soka inaonekana unaishabikia liver kwakuwa inakupa pesa katikabetting kama mashabiki wa man city na wale wa leicester city walivyopatikana ........hivi wewe ni kops kweli? mbona unadhalilisha wenzako?ngoja nimuulize mwenyekiti wenu MosDef au katibu wenu King Ngwaba kama wanatambua uwepo wako
Litakuwa jambo jema saanaWe're going for Upamecano & Éverton in January I'm sure of it.
Baba luiz tena! ata holding akipona?I still think 4231 is the best option for us.
Leno Bellerin Sokratis Luiz Tierney Torreira Guendouzi Pépé Ceballos/Özil Aubameyang Lacazette
Wewe ni mtu wa mipasho na vijembe vya uswahilini kama wanawake fulani wa mitaani wale wa kuminya pua wanaongea kama cherehanindio nini sasa?lete takwimu za msimu uliopita na uliopita ...sasa hicho ulicholeta ni takwimu au udaku..hhahahahahaha ila wewe ndio shabiki wa pekee wa liverpool ambaye huna idea na soka inaonekana unaishabikia liver kwakuwa inakupa pesa katikabetting kama mashabiki wa man city na wale wa leicester city walivyopatikana ........hivi wewe ni kops kweli? mbona unadhalilisha wenzako?ngoja nimuulize mwenyekiti wenu MosDef au katibu wenu King Ngwaba kama wanatambua uwepo wako
Jibu hojaHuyu jamaa mfatilie ni Barcelona fan,ila kwakuwa EPL imeshika kas bas huwa anapumzikia Liverpool ,juz alisema lacazette hawez kuisaidia arsenal maana hana uwezo wa kuifungia arsenal goli 20 ,
Nilivyoona hivo ,nikaamua kumuacha
Wewe hujui lolote kuhusu mpira , huwa unapuyanga, ndio maana binafsi nilishakuacha ubwabwaje,Jibu hoja
Morata wa Chelsea nae alikuwa anafunga goli 13 za ligi sawa na anazofunga huyo Lacazette , ila kwa kuwa Chelsea ni kama wako juu yenu kihadhi walimuona Morata Garasa licha ya kufunga magoli sawa na huyo Lacazette na kumtoa kwa mkopo and finally kumuuza