Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Nakubaliana na weweUnajua saa zingine inaingia akilini kumtoa Mkhitaryan kwa mkopo kwa sababu huwezi kulipa mtu £200,000 ambazo ni zaidi ya milioni 500 kwa wiki afu mtu akae benchi tu!
Bora umpunguze kwa faida 2:
1. Anapunguza gharama za mshahara.
2. Anaachia nafasi kwa vijana wenye kiu ya kuonyesha uwezo wao ambao wanaweza kuongeza kitu zaidi na hata kuleta mafanikio kwa klabu baadae.
#coygView attachment 1196097
OkWachezaji wote uliowataja Man city wanasugua benchi
Sio kweli, tuna wachezaj wengi tu wenye level sawa na mancity tatzo kocha, mchezaj kama jesus kamzd nn lacca kamzd nn auba, debruyne n kama ozil tu akiwa form, cabbelos n benardo silva kabsa, gundagon vs torreira nachagua torreira, stone amfikii holding kipaj, (future will tell) leno na ederson vwango vko sawa. Walker, rodrigo, aguero, davd silva ao ndo hatuna wakufanana nao viwango pale kwa sasa, ila stering, sane, mahrez ao wote n toleo la pili la nicolous pepe. Ubora wa mancity upo kwa kocha na ukubwa wa kikos. Mancity na arsenal tukibadilishana kocha tu emery aende mancity pepe aje arsenal, rasmi arsenal anagombania ubingwa mancity ataitafuta big4 tena kwa tochi..Wachezaji wote uliowataja Man city wanasugua benchi
Chelsea mnawewesekaPepe ni next IWOBI amini usiamini.
Xhaka labda apumzike game 2/3 lakini sio kutoka kabisa F11.Maswali mengi ni yakumchoma xhaka aondolewe first eleven ,
Kocha ndio anamuharibu , hii situation ni ile ile ya hendo kwa Liverpool,Xhaka labda apumzike game 2/3 lakini sio kutoka kabisa F11.
Sio yeye peke yake anakosea, asifanywe mbuzi wa kafara
Let's wait and see....Hapana ndugu! Hebu niambie position gani ina upungufu??
Ngoja nkupangie kikosi hapa ukione
1. Leno /Martinez
2. Bellerin/ Maitland-Niles
3. Tierney/ Kolasinac
4. Sokratis/Mavropanos
5. David Luiz/ Holding/Chambers
6. Xhaka/Torreira
7. Pepe/Nelson
8. Guendouzi/Ceballos
9. Lacazette/ Martinelli
10. Ozil/willock
11. Bukayo saka/ Emile Smith Rowe/Aubameyang
NB: wachezaji sio lazima wacheze kama nlivyoandika. Wanaweza wakacheza namba tofauti tofauti.
Sasa squad hiyo mzee upewe nini sasa???
ARSENAL have an entire starting XI of players they got rid of this summer – raising £48million and saving more than £1million-a-WEEK in wages.
From £40,000-a-week David Ospina in goal to £125,000-a-week Danny Welbeck up top
View attachment 1196608
Ndio maana wamemfurumusha wakakutane na mwenzake sanchezMkhitaryan £180K ????
Huyu alikuwa akiwaibia hela zenu
Lacazette yupo vizuri kuliko Gabriel Jesus ?!! Weka stats hapa jukwaani kati ya Laca na huyo dogoSio kweli, tuna wachezaj wengi tu wenye level sawa na mancity tatzo kocha, mchezaj kama jesus kamzd nn lacca kamzd nn auba, debruyne n kama ozil tu akiwa form, cabbelos n benardo silva kabsa, gundagon vs torreira nachagua torreira, stone amfikii holding kipaj, (future will tell) leno na ederson vwango vko sawa. Walker, rodrigo, aguero, davd silva ao ndo hatuna wakufanana nao viwango pale kwa sasa, ila stering, sane, mahrez ao wote n toleo la pili la nicolous pepe. Ubora wa mancity upo kwa kocha na ukubwa wa kikos. Mancity na arsenal tukibadilishana kocha tu emery aende mancity pepe aje arsenal, rasmi arsenal anagombania ubingwa mancity ataitafuta big4 tena kwa tochi..
Lacazette yupo vizuri kuliko Gabriel Jesus ?!! Weka stats hapa jukwaani kati ya Laca na huyo dogo
Tena Gabriel kaja EPL akiwa miaka kama sio 19 basi 20 na anacheza mechi chache kuliko Lacazette
Hahahhaha aweke yeye , Ana leta utan na lacazette .Weka wewe unayebisha ili kumthibitishia huyo unayembishia