Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
huyo spurz kikosi hikohiko amedroo na city pia so hoja yako ni ipi hapo?kuwa kikosi hiki kisingepata matokeo hata ya sare hapo anfield?timu ni nzuri na hapo ndio anajitengeneza,ikikaa sawa yeyote anayekaa mbele anapigwaKwanza hongeren kwa droo.
Nilikuwa nauliza hv hiki kikoc chá arsenal kilichoanza leo Ndó mlisema kingeanza siku ya Liverpool pale anfield kingeshinda?????
Wanakutana na ndugu yake Smalling tenaMkhitaryan has agreed personal terms with Roma ahead of a loan with an option to buy transfer. Sporting director Gianluca Petrachi is in constant contact with #AFC to finalise the deal before tonight's deadline [via @Gazzetta_it ]
Mkuu is this a good news for guys?Kwa taarifa ni kuwa Mou anavizia kibarua Arsenal , hivo emery aendelee na ujinga wake aone....
Have a feeling Jose Mourinho really really wants the Arsenal job and with our club having close ties with Jorge Mendes, I really wouldn't be surprised if it became a reality.
Ni habari nzuri ,mou cha muhimu atimiziwe mahitaji yakeMkuu is this a good news for guys?
Umeme UPI??Xhaka kula umeme nimependa nadhani gemu zijazo atamtumia lt11 kama dm huku cebalos na matteo wakiwa kama CM.. xhaka ana matatizo saana akicheza midfielder ya chini hasa akiwa pekee na wapinzani wakiwa na presha ya hali ya juu.. amtumie lt11 nadhani alitaleta matokeo chanya.
Jana tumefungwa magoli fulani ambayo kiuhalisia hatukupaswa kufungwa ni uzembe mkubwa... Na makosa km haya ndio yanatunyima points daima, tunafunga ila tunaruhusu magoli, leno alifanya saves nyingi nzuri, na pia sie tukakosa nafasi kadhaa za wazi.. ni kuongeza umakini katika umaliziaji na kuongeza umakini katika uzuiaji.