Kumbe hata ukumbuki ..tuliposhia nafasi ya kumi tulichezaje Europa mkuu? Au Europa zinaenda hadi timu zilizoshika nafasi ya kumi. Msimu wa kwanza wa Conte hatukucheza Europa mzemsimu wa pili tuliishia nafasi ya tano na tukabeba FA wakati wewe ulivyooshwa tatu fainali na Madirid. Conte akasepa akaja Sarri akabeba Europa.
Aha kujifanya uelewi.

Andre villa Boaz alimaliza nafasi ya ngapi, hukumbuki newcastle ya Demba ba / cisse walimaliza juu yako huo msimu,jaribu kufatilia hata habari za timu yako hujui, yaani we ni zero kweli yani.
Nilisahau kama muliishia hadi nafasi ya 10.
Yani kumbe mulifika huko?
Narudi kufuta post yangu ya awali.
Wewe bwege sitaki discussion na wewe, unaquote watu hukumbuki nyuma uliandika nini yani zero kabisa!Wewe ni mjinga na nimeshakwambia mpira huujui. 2012/2013 ndo tulishiriki EUROPA tukabeba. Na 2017/2018 tukabeba tena
Jaribu kuelewa kwanza dscussion ilikua inahusu nini ndio uquote, punguzeni viherehere maana mnatoa maelezo Irrelevant,mi sihitaji kujua hayo uliyoyasema.ABV alifukuzwa katikati ya msimu wewe ..timu akapewa De Matteo ..moja kwa moja akafika fainali uefa na kubeba ..wewe uliyemaliza juu yetu ulibeba nini? uyo Nu Casto alibeba nini?
Sisi ndio viranja wa London bwana bila sisi Chelsea London itapoteza mvuto kabisa.
Kila la kheri Chelsea
Inakuhitaji miaka 10-15 kufikia mataji ya arsenalHuo ndo mwaka tumebeba UEFA na FA. Naukumbuka vzuri. Arsenal hata Carabao inakushinda?
Inakuhitaji miaka 10-15 kufikia mataji ya arsenal
Akili yako ndogo inaongozwa na mihemkoWewe bwege sitaki discussion na wewe, unaquote watu hukumbuki nyuma uliandika nini yani zero kabisa!
Kwenye makundi UEFA mmesahaulika au namna gani vipi? Mbna sielewi jamaniView attachment 1192997
Solsha kampga unai kata nfunue kwa mustafiView attachment 1192800
Kwenye makundi UEFA mmesahaulika au namna gani vipi? Mbna sielewi jamaniView attachment 1192997
MKUU HILI JUKWAA LIMEKUFANYA NINI UMEWEKA KAMBI SASA.Hivi mnajua kuwa droo za Eufa zinafatiliwa kuliko Futuhi aka EUROPA?
Hilo kund unashika mkia ,tupo hapaKwenye makundi UEFA mmesahaulika au namna gani vipi? Mbna sielewi jamaniView attachment 1192997
Luiz anamuuma sana ,MKUU HILI JUKWAA LIMEKUFANYA NINI UMEWEKA KAMBI SASA.