Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe hujui kitu ndio maana unalipoka,hiyo mech aliyoanza lt11 ,bado kocha alimuanzisha nje lacazette ,Mkuu punguza jazba hao kina torreira walilambishwa vumbi Na Firmino mech ya 5-0.acha kumlalamikia kocha huyo lagazeti mwenyew kwa Van dijk angetulia tu kama mwenzake auba.jengen kikos halafu mje tena anfield sio kupiga domo wakat hauna timu iliyojengwa vizur
with our Idiot (Unai) still in charge of the team lolote linawezekana
Naona kizazi kipya kabisa wakiondoka hawa. Tutakuwa na wachezaji wa kuanzia 2015 which is great. Ila kocha anazingua sana.If Nacho Monreal departs, our longest serving player will be Mesut Özil. Given that the German’s future isn’t guaranteed either, it could be Calum Chambers as we head into the start of next season. Should he leave too, it’s Héctor Bellerín, who made his debut in 2014. Crazy.
Pale hatuna kocha kakaNaona kizazi kipya kabisa wakiondoka hawa. Tutakuwa na wachezaji wa kuanzia 2015 which is great. Ila kocha anazingua sana.
Mkimtimua Unai hata top six mutapotea.. Unai bonge la kocha, mpeni mkataba mpya mapema.Kumewauma sana ,
Lakin sisi tunaoijua timu yetu ,tunajua luiz alicheza vzr tu,
Ndio maana dunia nzima arsenal fan lawama anapewa kocha , unaacha watu nje unapanga midfield ya u21 ,
Ina maana beki itazidiwa , sasa utamlaumuje Luiz,?
Luiz alicheza vzr mipira ya juu na kuanzisha mashambulizi ,
Chelsea wanajifariji maana timu YAO hata top 10 hawafik
Aise usiombe tukutane na nyie ..hii timu beki Luiz ..Mount anatosha kabisa kumkimbiza..Acha kuongea ugolo, huyo tot alichukua point 4 wap kwa arsenal ?
Yaan Chelsea na kikosi kile mmeshapata nguvu ,wakati hata nafas ya 10 hamtafika
Huyo wa pembeni hapo ni nani?Viewed from 1100ft Arsenal stadium and Highbury Square, former Arsenal Stadium, #Highbury, with central #London in background. View attachment 1191598
Niache bangi?? Wewe unachezesha magarasa ya league one unategemea yataleta matokeo yeyote ya maana? Apo arsenal mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Chelsea bas ni Auba labda na Pepe kwa mbali ..Lacca anaweza kuwa sub ya Tammy ..wengine waliobaki wangepaswa kucheza Bolton au QPR uko ..sasa unadhani tatizo ni kocha au ilo rundo la wachezaji alionaoOllachuga acha bangi,
Kocha alizingua , wachezaji waliopo ni wakupambania ubingwa , ndio maana walipoingia wali mprove wrong ,
Kuvinja rekodi haimaanishi kampelekesha boss sema ilitokea occasion moja akawa amempita na ndio hio hio akaweka record..hakuna mda mwingine wowote alimpita wala kumsumbuaKampeleka sana tena sana ,
Wewe ndio umesimuliwa ,maana pepe kavunja had rekod ya vvd yakutokupigwa chenga.
Wachambuz wanajiuliza emery anashindwa nn kuanzisha Trio ,
Unai hana jipya ,yule NDIO maana haingezewi mkataba ,Mkimtimua Unai hata top six mutapotea.. Unai bonge la kocha, mpeni mkataba mpya mapema.
Hii bangi uliyovuta sijui ya wapi? HahahhahaNiache bangi?? Wewe unachezesha magarasa ya league one unategemea yataleta matokeo yeyote ya maana? Apo arsenal mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Chelsea bas ni Auba labda na Pepe kwa mbali ..Lacca anaweza kuwa sub ya Tammy ..wengine waliobaki wangepaswa kucheza Bolton au QPR uko ..sasa unadhani tatizo ni kocha au ilo rundo la wachezaji alionao
Mechi ijayo ya shelfield utashinda, lakini game 3 zijazo lazma ujipige ban wolves,liverpool,soton... wewe utafunga waliopanda daraja tu ndo level yako for now.Niache bangi?? Wewe unachezesha magarasa ya league one unategemea yataleta matokeo yeyote ya maana? Apo arsenal mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Chelsea bas ni Auba labda na Pepe kwa mbali ..Lacca anaweza kuwa sub ya Tammy ..wengine waliobaki wangepaswa kucheza Bolton au QPR uko ..sasa unadhani tatizo ni kocha au ilo rundo la wachezaji alionao
Huyu hata nafas ya 10 na wasiwasi nae, sana ....basi tu sijui nawapaje nafas ya 10, kuna Watford , wolves ,Everton akikaza sare, top 6 habebi hata point 1,Mechi ijayo ya shelfield utashinda, lakini game 3 zijazo lazma ujipige ban wolves,liverpool,soton... wewe utafunga waliopanda daraja tu ndo level yako for now.
time will tell
Asee ni bora ungekaa kimya tu, naona unajichosha for nothing, Sisi hatukuwazii kabsa, wewe pambana na the likes of Aston villa, Norwich ,Newcastle et al. hao ndo saizi yako nw.Aise usiombe tukutane na nyie ..hii timu beki Luiz ..Mount anatosha kabisa kumkimbiza..