Nimekuja kukazia. Timu zote zilizocheza ugenini wiki hii zimeondoka na matokeo kasoro Arsenal.
| Hata Mimi Nakazia! Bado unasimamia mtazamo wako kuwa Spurs anaweza kubeba ubingwa? Nakuhakikishia next game anapigwa na Arsenal Tunza hii post |
Arsenal hawawezi kumfunga Spurs, huwa spurs anapigwa na timu ndogo tu, kwa top 6 wanajiandaaga sawasawa
Hata Mimi Nakazia!
Bado unasimamia mtazamo wako kuwa Spurs anaweza kubeba ubingwa?
Nakuhakikishia next game anapigwa na Arsenal
Tunza hii post
Wewe wasemaArsenal hawawezi kumfunga Spurs, huwa spurs anapigwa na timu ndogo tu, kwa top 6 wanajiandaaga sawasawa
Hata Mimi Nakazia!
Bado unasimamia mtazamo wako kuwa Spurs anaweza kubeba ubingwa?
Nakuhakikishia next game anapigwa na Arsenal
Tunza hii post
Bado naamini kwa 95% Spurs ndiyo bingwa msimu huu. Kama akianguka basi ni nafasi ya pili. |
Yaani ni shida.Match fitness wap shaka alipata injury ila kapona kaingia straight kwenye kikosi, kwann isiwe torreira au laca n mahaba yake tu mwehu yule
Spurs atastrugle sana kubakia top 4
Bado naamini kwa 95% Spurs ndiyo bingwa msimu huu. Kama akianguka basi ni nafasi ya pili.
Uwezo uo tunao ndugu, ngoja majembe ya pone, bellerin, tierney, holding afu utaelewa. Achana na mawenge ya emery, potential eleven yetu ikija kuanza kucheza pamoja vilio vitakua vingi kwa wapinzan,MASHABIKI WA ARSENAL SASA WANAAMINI TIMU YAO INAWEZA KUSHINDA MATAJI NA VIONGOZI WA TIMU WANAAMINI TIMU YAO IPO KWENYE KIPINDI CHA MPITO KUENDELEA KUJENGWA ILI BAADAE IWEZE KUSHINDA MATAJI
Arsenal hawawezi kumfunga Spurs, huwa spurs anapigwa na timu ndogo tu, kwa top 6 wanajiandaaga sawasawa
Kwani Spurs msimu uliopita alichukua points ngapi kwa UnitedTukiachana na ushabiki Spurs hana rekodi Nzuri kwa Arsenal na Liverpool.
Last season Arsenal hakuwa vizuri, Lakini Spurs alikuwa vizuri ingawa hakusaini bali aliishia kupigwa 4 na Arsenal.
Spurs katika Top 6 huzisubiri Chelsea, Manure na Man City ndiyo anazikazia kinoma.
Lakini akicheza na Liverpool tu huwa anacheza mpira bovu balaa na Ndiyomana kila msimu tunachukua points 6 au 4.. Inaweza pita miaka 5 au zaidi ndiyo anabahatisha kutufunga kama alivyotuokota mwaka Juzi.
Kwahiyo na kwa Arsenal pia huwa analegeza vyuma.
You may be right kwa sababu Arsenal anacheza nyumbani lakini statically wanalipiziana, Arsenal akishinda kwao Spurs naye anashinda kwaoTukiachana na ushabiki Spurs hana rekodi Nzuri kwa Arsenal na Liverpool.
Last season Arsenal hakuwa vizuri, Lakini Spurs alikuwa vizuri ingawa hakusaini bali aliishia kupigwa 4 na Arsenal.
Spurs katika Top 6 huzisubiri Chelsea, Manure na Man City ndiyo anazikazia kinoma.
Lakini akicheza na Liverpool tu huwa anacheza mpira bovu balaa na Ndiyomana kila msimu tunachukua points 6 au 4.. Inaweza pita miaka 5 au zaidi ndiyo anabahatisha kutufunga kama alivyotuokota mwaka Juzi.
Kwahiyo na kwa Arsenal pia huwa analegeza vyuma.
Nakubaliana na wewe UNAI asipoingia top 4 itakuwa baba jeni byebye.KWAHERI NACHO MONREAL Umetuachia na Maisha yetu ya Afadhar ya Jana.
Unaelekea REAL SOCIEDAD nyumbani kwenu Spain ila Mwambie UNAI Akishindwa kutuweka TOP 4 akyanani Atakufuata huko huko!!!
Hatuna Sabab ya Kufungwa Kirahisi Rahisi ingali Majembe Tunayo...
Anataka Kuyatumia wapi na kama Kila mchezaji alikuwa FITI ktk game ile na Liverpool pale kwao Anfield,Akapanga km anacheza PS.
Machungu tunayo sisi Wana Gooners angejua Hatuna Raha kabisa kwenye Mabanda yetu huku Uswaz..
Ila poa Ilikuwa Wiki ya Misiba Ya wengi...
Mahasimu SPURS tumeshuhudia wakikabwa kooni uwanjani Kwao kwa kupigwa 0 - 1 na NEWCASTLE na Wale Jamaa Zetu wale MAN BUUuu Wakilala 1 - 2 na CRYSTAL PALACE pale Trafford..Afadhari afadhari bado tupo TOP 4
Weekend Hii Jumapili tunacheza na SPURS Nyumbani Emirates.Hawa jamaa sisi ni wapinzani wetu yaani Mahasimu wetu ndani ya jiji la London tupo karibu nao kabisa Unafanya kutembea kwa mguu unafika mtaani kwao hatupo nao mbali,katika Ligi wanaomba wamalize juu yetu ndo Kipengele chao kikubwa kila Msimu na mwaka jana wametupita kila idara Wamefika fainali CHAMPIONS LEAGUE na ktk ligi wamemaliza wakiwa juu yetu..
Tumetoka kufungwa wametoka kufungwa Hivyo Basi UNAI endelea kulazimisha kutia Chumvi ktk Chai matokeo yake tutakwambia Mwisho wa Msimu...
HATUTAKI KUFUNGWA MFULULIZO Please..View attachment 1190568
Tulia kijana dawa iingie, dozi nzima lazima mpeweKWAHERI NACHO MONREAL Umetuachia na Maisha yetu ya Afadhar ya Jana.

Tatizo ni kocha, hadi hapa tulipofikia kocha analaumiwa kwa kiasi kikubwa. Hiyo first eleven ni nzuri ila ngoja uone huyo Unai akiwaanzisha akina Willock.Uwezo uo tunao ndugu, ngoja majembe ya pone, bellerin, tierney, holding afu utaelewa. Achana na mawenge ya emery, potential eleven yetu ikija kuanza kucheza pamoja vilio vitakua vingi kwa wapinzan,
Leno
bellerin, sokratis, holding,tierney
Torreira,xhaka, cabellous
Pepe, lacca,auba