OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Uyu Chelsea walitupa mkuu, Si moja ya usajili wetu bora msimu huu? Atimizi majukumu yake tumrudishe darajani..??Luiz mzitoooooo jamani kona hajaruka
Hahahahaha mbona kafanya usajili mkubwa sana aise ...Pepe million 80 unadhani ni utani utani ...Unai is a son of a bastard
Magarasha tupu hayoDah Luiz tumepigwa,, Leno tumepigwa,, Pepe tunaelekea kupigwa,, dah uyu Unai ataleta matatizo bora afukuzwe mapemaaa