Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Liverpool 0- 2 ArsenalLiverpool 3 - 0 Asernal
Endelea kupiga ramliLiverpool 3 - 0 Asernal
Ndugu yangu ni maeneo gani hayo ‘mengi’ ambayo kwenu ni mazuri kuliko Liverpool?Vyovyote iwavyo arsenal tunaingia LIVERPOOL kuwaonesha mpira unachezwaje duniani.
Mmekalia kutufunga kwa mwaka jana mkadhani na mwaka huu.
Tunahitaji point tatu na tutazipata tu full back yetu siyo mbovu kama ya msimu uliopita na siyo nzuri kama ya LIVERPOOL lakini tuna maeneo mengi kwa sasa ambayo tuko vizuri kuliko LIVERPOOL na timu nyingi uingereza.
Kocha akitumia viungo watatu kati akae Torreira,dan na tshaka.Kule mbele Laccazate,ozil na Abu hapa nyuma nacho monreal ,niles,luiz na sokratis mlangoni ni leno aisee sijui nawaapia liverpool mtapaki basi tutashambulia kufa mtu.
Pound 180k p/w thats too low based on current market for top strikers. We need to extend their contracts with better salary ASAP.Arsenal want to extend the contracts of strike pair Lacazette & Aubameyang which will include performance-related bonuses linked to Champions League qualification as well as Europa League & FA Cup progression on top of individual goal targets.
The duo are on £180k p/w.
Arsenalwearefamily Thoughts?
Had sasa wanakula 180p/w , mkataba mpya utawafanya wapate had 300p/wPound 180k p/w thats too low based on current market for top strikers. We need to extend their contracts with better salary ASAP.