Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sikubaliani na wewe kuhusu xhaka. There is a reason he is going to be our captain.

Sometimes mashabiki tunajifanya tunajua sana kumbe wapi hamna kitu. Kama yupo fit, I need him to start alongside ceballos and Guendouzi/Torreira
 
Acha upayukaji basi , na kweli hujui, kwahiyo kama mchezaji hajauzwa , umekurupukia wapi kumtaja bila kufanya utafiti kabla hujaongea, je umemuona kwenye lineup lini hata sub tu, ?

Ndio maana nilikwambia acha ukurupukaji, kwan dirisha limefungwa ?au unajua tayari kwa kuwa hufatilii ,

Na hata dirisha likifungwa , mustafi ameshaambiwa hana namba, Unasema arsenal haina center class ,huna vigezo ila mawazo yako mfu, Sokratis ni beki mzuri tu ,kuna luiz ni mzuri kuanzisha mashambulizi , wewe unataka tuwe na center za aina gani? Kuna chamber ambaye amecheza vzr sana mech ya 1, kuna holding anafanya full training ,soon anaingia moja kwa moja 1st eleven .Unamtaja Ainsley ni beki mbovu umetumia takwimu gan ,mbona tunakuwa waongo hivo, maana pamoja na Niles kutokuwa ile ni namba yake lkn had sasa amecheza vzr na mech ya kwanza akitoa assist kwa Auba ,maana anapandisha timu vzr tu, Sasa unatumia vigezo gan hutaki kusema .

Unamtaja kolasinac ,ambaye sio mbovu kama unavyotaka kusema hapa , anashambulia sana kuliko kudefend ni kweli ,lkn yupo Nacho ndio amekava hiyo nafas kwasasa , na Kola anaingi kushambulia , wakati huo huo Arsenal imemuongeza Kieran tierny Namba 3 nyingine bado yupo injury.

Hii yote inaonesha ni jinsi gan unakurupuka bila kuja chochote ,
 
Kwan had sasa mech zote toka na man city mbona fabinho kapotezwa vibaya sana hapo kati ,au hili hulijui , ? Acha mahaba
 
Emery:

“Last year with Mustafi & Mo, when they didn't play they weren't happy & I spoke with them a lot of times last year and this pre-season & I think it is positive for them to leave and sign for another team where they can be protagonists and be happy & continue their careers
 
Emery Wants Mustafi and Elneny to Leave Arsenal
*

Unai Emery says it is better Shkodran Mustafi and Mohamed Elneny leave Arsenal before the European transfer window closes, for the sake of their careers.

Neither player has been part of a matchday squad this season, and Arsenal head coach Emery indicated he has already told the pair they are surplus to requirements.

"We have some players and they know their situation. For example, Elneny and Mustafi, they know their situation in the squad," Emery said ahead of Arsenal's trip to Liverpool on Saturday.

"I want the players to be happy here, I want the players to be protagonists here, and last year, for example, with Mustafi and Mo, when they didn't play, they weren't happy.

"I spoke with them a lot of times last year in this position and I think it is positive for them to leave and to sign for another team where they can be protagonists, they can be happy and can continue their careers as players.

"They are very big players but here for one circumstance or another circumstance they are going to have less chances to show their capacity or to be happy with us taking minutes of playing matches."
 
kumbuka hawaendi hivi hivi, lazima waondoke at agreed price
 
Sikubaliani na wewe kuhusu xhaka. There is a reason he is going to be our captain.

Sometimes mashabiki tunajifanya tunajua sana kumbe wapi hamna kitu. Kama yupo fit, I need him to start alongside ceballos and Guendouzi/Torreira
Mchezaji kuwa kapteni haina uhusiano na uwezo wake uwanjani, mfano henderson pale liverpool.

Xhaka hiyo nafasi anaonekana bora kwa sababu wakumpa ushindani hapo Arsenal bado vijana, lakini wachezaji km Doucoure wa watford, Gana gueye yule msenegal,au hata Ndidi wa leicester wanaweza kuifill vizuri zaidi ya huyo Xhaka.

Inaumiza pale wenger anakuambia hakumsajili Kante kwasababu Xhaka ni bora zaidi ya Kante. hahahha!
 
Granit Xhaka kitambaa kinamfaa sana
 
Cha msingi tu ni kumchinja jogoo kwao kitu ambacho kinawezekana
 
Ninaamini msimu huu Emirates hapana kauka makombe hata mawili
 
Cha msingi tu ni kumchinja jogoo kwao kitu ambacho kinawezekana
Jogoo kufa si ajabu.. ila itategemeana na ukuta wa Arsenal utacheza kwa kiwango gani siku hiyo.
Liver wako vzr sana mbele, MANE, SALAH, FIRM ni moto sana, ukizingatia beki ya Gurnerz sio ya kuwazuia hawa watu kirahisi, itahitajika nguvu kubwa ya viungo kuipa sapot defence hasa Liverpool inapoanzisha mashambulizi ya haraka nakwa speed.
Wale wazee pale nyuma wana kazi ya ziada... Kwa Arsenal wajitahid wasipoteze nafasi sana.
Kwenye chance 3 wascore 2 au 1 kuliko kukosa kabisa... wakifanya hv uhakika wa point 1 hadi 3 upo.
 
Dakika 15 zilizopita nlikuwa naangalia kipindi kinaitwa match day analysis, guest of the show ni Phil Neville na yeye anaamini arsenal will get a point at Anfield.

Ila ambacho sikubaliani nae ni aliposuggest mkhitaryan aanze nafasi ya ceballos. Hoja yake ni kwamba that is Anfield na patahitajika watu ambao wanajua what is Anfield, ambao hawatababaishwa na mikelele ya the kop
 
Ceballos lazima acheze labda Micky awe Back'Up... sometimu kupangua kikosi kunagharimu
 
Excellent news Kieran Tierney is expected to start full training with Arsenal in October. The left-back will be an important boost to Unai Emery's starting XI .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…