Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuanze na Man Utd:

Fabinho utamlinganisha na Matic au unataka kusema Matic mzuri kuliko Fabinho?

Unataka kusema kwamba Scott McTominay ni kiungo bora katika Box to Box midfield kuliko Keita ?

Tuje Spurs:

Unataka kusema Harry Winks ni bora kuliko Fabinho? Unataka kusema Sissoko ni bora kuliko Oxlade Chamberlain?

Spurs Box to Box namuelewa Tanguy Ndombele


Beki ni mbovu ndio, na timu yenu imejaa ubutu maeneo mengi. Mtu kama Lacazette ili Club yenu ifike mbali alitakiwa kufunga goli 20 hivi ila mpaka sasa hamna msimu ambao amefikisha hata goli 15

And yes of course naongea kwa maoni yangu binafsi
 

Bila ushabiki Liva inabebwa zaidi na top 3 wao wa mbele pamoja na VVD pale nyuma. Kiungo ni wepesi sana. Sasa Fabinho utamuweka level ya viungo bora? Keita hata mechi 5 hafikishi yupo hospital?

Mbona Milner/Henderson huwataji?
 
Bila ushabiki Liva inabebwa zaidi na top 3 wao wa mbele pamoja na VVD pale nyuma. Kiungo ni wepesi sana. Sasa Fabinho utamuweka level ya viungo bora? Keita hata mechi 5 hafikishi yupo hospital?

Mbona Milner/Henderson huwataji?
Hahahahahahahahah Ongereni Nyie wenye viungo bora,TUTAKUTANA UWANJANI IJUMAMOSI.
 
Hahahahahahahahah Ongereni Nyie wenye viungo bora,TUTAKUTANA UWANJANI IJUMAMOSI.
Tatizo jamaa analeta ushabiki uliopitiliza ,hakuna asiyejua Liverpool wana beki bora na trio bora ,ila viungo ni tia maji tia maji , anamtaja keita ambaye yupo hospitali kila baada ya mech 3.
 
Wewe jamaa ni mpayukaji na MTU ambaye mpira huufahamu kwa kuwa huufatilii kiundani .

Unakimbilia kusema kiungo chako ni bora , sawa umemtaja fabinho ,nakubaliana na ww , unakuja unamtaja Keita ambaye hata mech 5 hafikishi , hii inaonesha jinsi gan hata Liverpool hufatilii inacheza na middle gan kwa siku zote ,

Middle ya Liverpool ya hendo fabinho na gini/milner imekuwa ikilalamikiwa sana na kopities duniani,

Na kutokana na kuwa butu kwa hendo & gin kumepelekea mzigo mkubwa kumuangukia fabinho ambaye sio mbaya , kaangalie mech ya liver vs Chelsea ,alikuwa anabak peke yake katikati , hana msaada ,hata Liverpool echo walichambua vzr tu,

Unaposema beki ya arsenal ni mbovu mbona huleti evidence , tunakubali beki yetu sio nzuri kulibganisha na ya Liverpool au city , lkn sio top 6 zote , hapo unaleta mahaba ,nakumbuka ulikuwa kinara kabla hatujasajiri kuiponda beki yetu na ukidai hatutasajiri,

Nikamwambia haya maswala huyajui sisi tubaofatilia klabu yetu tunajua INA mipango IPI,

Umebaki una mtaja mustafi , ambaye hayupo ktk mipango ya arsenal , na hana namba tena

Umebaki na msimamo ule ule wa kipind kile tena ukimnukuu harry rednakp ambaye alisema maneno hayo kabla Arsenal na man u hazijasajiri hata MTU mmoja .

Hii inaonesha ni jinsi gan hujui unachokiongea


Unazungumzia lacazette hafungi magoli 15+

Unajua msimu uliopita kafunga magoli + assist ngapi?

Je unajua ndiye mchezaji bora wa mwaka wa Arsenal ? Mbele ya aubamayang mwenye kiatu cha dhahabu,?

Nikisema unakurupuka nitakuwa nakosea?
 
Anamtaja Ox na keita wakati hao wachezaji hawawez kucheza mech 5 mfululizo,

Nilimueleza Liverpool ni timu bora hilo halina ubishi, ila hajui ni jinsi gan Liverpool inavyozalisha magoli , Kazi anayoifanya firminho ni zaid ya viungo wake, kazi zinazofanywa na fullbacks ni zaid ya viungo ,
 
Midfielder ya Liverpool Klopp ameijenga kui support zaidi Defence ni compact midfield, then Fullbacks ndio wanakuwa supported kwa Forward kutengeneza chances,Bahati mbaya tumeanza ligi vibaya ile compact midfield haijakaa sawa bado.
 
Vyovyote iwavyo arsenal tunaingia LIVERPOOL kuwaonesha mpira unachezwaje duniani.
Mmekalia kutufunga kwa mwaka jana mkadhani na mwaka huu.
Tunahitaji point tatu na tutazipata tu full back yetu siyo mbovu kama ya msimu uliopita na siyo nzuri kama ya LIVERPOOL lakini tuna maeneo mengi kwa sasa ambayo tuko vizuri kuliko LIVERPOOL na timu nyingi uingereza.
Kocha akitumia viungo watatu kati akae Torreira,dan na tshaka.Kule mbele Laccazate,ozil na Abu hapa nyuma nacho monreal ,niles,luiz na sokratis mlangoni ni leno aisee sijui nawaapia liverpool mtapaki basi tutashambulia kufa mtu.
 
ELNENY & MUSTAFI WARUHUSIWA KUONDOKA ARSENAL

Elneny and Mustafi wako huru kuhama klabu inataka kuwauza kabla ya dirisha halijafungwa mwishoni mwa Wiki ijayo Sept 2 Hii ni kwa Mujibu wa Unai baada ya kuthibitisha kuwa nafasi zao ndani ya klabu hakuna

'They know the situation' - Emery urges Mustafi and Elneny to leave Arsenal https://m.allfootballapp.com/news?id=1692316&type=share&language=en
 
Mimi ni mkurupukaji kweli mpayukaji kweli na sijui mpira kweli

Mustafi hayupo kwenye mipango yenu mbona sasa hamjamuuza ? Anaenda timu gani?


Hata tukiassume kuwa Mustafi hayupo bado beki ya kati wanabaki David Luiz na Sokratis ambao nao sio Class Centerback, David Luiz isn't a good Defender


Ainsley Maitland-Niles beki moja mmbovu Sead Kolasinac huwa hadefend ila mzuri kushambulia etc
 
Tunapoongea Wapo Fit ama la?


Kumbe unakubali kwamba midfielders with Quality wapo ila tatizo ni majeruhi na upangaji wa Kocha
 
Mkuu spurs viungo wake ni moto kuliko sisi liver assume Ndombele, winks, ericksen, lo celso, sissoko, dier, wanyama versus fabinho, keita, ox, gini, hendo, milner. Ukiangalia kwa makini hapo kuna like for like back up kwa spurs ila sio kwetu bad enough majeruhi ya creative mid ox & keita.
 
Muite Castr Please
 
Tunapoongea Wapo Fit ama la?


Kumbe unakubali kwamba midfielders with Quality wapo ila tatizo ni majeruhi na upangaji wa Kocha
Hahahhaa wewe jamaa uwe unakaa kimya tu, lini walicheza wakathibitisha ni bora kuliko wengine ,maana hatujawahi kuona wakicheza mech 10 mfululizo, yaan unashindwa kututajia viungo wanaocheza mech 30+ kila msimu, unajifichia kwa wanaocheza mech 5
 
Tatizo huyo jamaa anatanguliza mahaba zaidi, anaamin Liverpool haina mapungufu imekamilika 100%
 
Bila ushabiki Liva inabebwa zaidi na top 3 wao wa mbele pamoja na VVD pale nyuma. Kiungo ni wepesi sana. Sasa Fabinho utamuweka level ya viungo bora? Keita hata mechi 5 hafikishi yupo hospital?

Mbona Milner/Henderson huwataji?
Niwataje Hendo na Millie Kwani nyie hapo hamna magarasa ya Midfield? Tulikuwa tunaongelea ni nani ana midfield bora

Unaambiwa uchague kati ya Xhaka/Gouendouzzi na Fabinho unamchagua nani?

Unaambiwa uchague kati ya Fabinho na Lucas Torreira unamchagua nani?

Unaambiwa uchague kati ya Fabinho na DM yeyote wa Spurs unamchagua nani?

Naweza sema Fernandinho ni bora kuliko Fabinho sababu ya experience so hapa nakosa grounds nzuri za kuwa compare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…