Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Why do people seem to think Stan being majority owner of Arsenal in 2011 prior to KSE obtaining sole proprietorship in 2018 has anything to do with Josh becoming Director of KSE in 2013?

I'm not sure how many times I've said and linked to articles about Stan not doing anything as majority shareholder lest he raise the Portfolios of the other shareholders. And how everything would come once KSE obtained sole proprietorship

That's now happening yet you've still got people yapping away at irrelevant things from the past for literally no reason...
 
ArseAnal mna tabu sana mmeshindwa kuongoza league hata kipindi hichi,hamtaongoza ligi tena hela za PEPE bora mngetumia kuhonga makipa wa timu ndogo mpate points.
Arsenal Jumamosi anaenda Anfield kuchukua kipigo halafu anaanza upya kuitafuta top four kama sio top six
 
Kumfunga Liverpool Anfield kwa wakati huu inahitaji kujizatiti kweli mkuu, ushindi unachangiwa na mambo mengi sana, sio squad quality pekee, kuna vitu kama compact defence pamoja na chemistry ya wachezaji ,je kwa muda huu tumeachieve hivyo vitu?
Hao jamaa zako wanasahau kuwa Mourinho mbabe wa big matches alifukuzwa kazi pale Man Utd siku tatu baada ya kupokea kipigo cha Anfield
 
yeah nadhani swala la makelele yao coach atakuwa tayari ameli-address, I believe our players will not lose confindence because of that but looking at their recent form/matches, i dont see them as a threat
Mzee mechi kubwa pale Anfield huwa sio mchezo

Sasa ukiona Leicester city anadraw pale au Crystal Palace anachafua Clean sheet kwa goli tatu usidhani ndio wewe au Man City au Man U au Chelsea ndio mtapata hewa pale Anfield

Kuongezea tu ni kwamba nyie Arsenal ndio Club kubwa ya Big six yenye beki mbovu kuliko top Six wote
 
Mzee mechi kubwa pale Anfield huwa sio mchezo

Sasa ukiona Leicester city anadraw pale au Crystal Palace anachafua Clean sheet kwa goli tatu usidhani ndio wewe au Man City au Man U au Chelsea ndio mtapata hewa pale Anfield

Kuongezea tu ni kwamba nyie Arsenal ndio Club kubwa ya Big six yenye beki mbovu kuliko top Six wote
Acha uongo ,hiyo beki mbovu kwa kigezo gani?je unajua pia Liverpool ndio timu yenye midfield mbovu kuliko top 6 zote?
 
Mzee mechi kubwa pale Anfield huwa sio mchezo

Sasa ukiona Leicester city anadraw pale au Crystal Palace anachafua Clean sheet kwa goli tatu usidhani ndio wewe au Man City au Man U au Chelsea ndio mtapata hewa pale Anfield

Kuongezea tu ni kwamba nyie Arsenal ndio Club kubwa ya Big six yenye beki mbovu kuliko top Six wote
Wewe jamaa huwa hujui kuchambua na kuanalyse mpira ,Mara nyingi huwa unaenda chaka sana ,

Unasema arsenal ina beki mbovu kwa kigezo gan, una takwimu zozote msimu huu kuwa arsenal INA beki mbovu ? Mbona huzungumzii pia kuwa Liverpool ndio klabu kwasasa yenye kiungo kibovu ,unamuachaje Chelsea mwenye beki mbovu ? Liverpool mpaka sasa haijatoa cleansheet sababu ya midfield mbovu.

Hiyo mechi mm siizungumzii sana ,mpaka itakapotoka lineup ,

Ila usiichukulie poa hiyo mechi, arsenal now tunakuja kivingine, na labda kama hujui anfiled arsenal huwa tunashindaga pia ,
 
Rasmi Tutalamba uzi wa Tatu kwa Mara ya kwanza Apo Anfield
IMG-20190822-WA0009.jpeg
 
Arsenal bado inamfatilia Dayot upemecano

Baada ya OFA ya £60m kukataliwa, January Arsenal itarudi tena
IMG-20190822-WA0011.jpeg
 
It may well be that Torreira's energy and physicality earns him the spot but few Arsenal fans would complain if Emery proved willing to trust a youngster in Willock who has consistently put in the hard yards early in the season.

Predicted Arsenal XI:

Leno; Maitland-Niles, Sokratis, Luiz, Monreal; Guendouzi, Torreira, Ceballos; Pepe, Lacazette, Aubameyang
 
Arsenal want to extend the contracts of strike pair Lacazette & Aubameyang which will include performance-related bonuses linked to Champions League qualification as well as Europa League & FA Cup progression on top of individual goal targets. The duo are on £180k p/w. Thoughts?
IMG_20190809_112338.jpeg
 
Predicted Arsenal XI:4-3-3 or 4-2-3-1

Leno; Maitland-Niles, Sokratis, Luiz, Monreal; Guendouzi, Torreira, Ceballos; Pepe, Lacazette, Aubameyang
IMG_20190820_190536.jpeg
 
Tukumbushane katika Mechi za mwisho Arsenal kushinda Anfield tulilamba uzi wa blu bluuu nafasi ipo kila kitu kinawezekna juhudi +kujituma kuacha school boy mistake elite mentality COYG
IMG_20190822_135501.jpeg
 
Don't expect Tierney or Bellerin in the line up until nearly Christmas. In that case, we must keep hold of both Kolasinac and Monreal until January. #AFC
IMG_20190822_140358.jpeg
 
Mzee mechi kubwa pale Anfield huwa sio mchezo

Sasa ukiona Leicester city anadraw pale au Crystal Palace anachafua Clean sheet kwa goli tatu usidhani ndio wewe au Man City au Man U au Chelsea ndio mtapata hewa pale Anfield

Kuongezea tu ni kwamba nyie Arsenal ndio Club kubwa ya Big six yenye beki mbovu kuliko top Six wote
how many goals have we conceded in comparison with other top 6, to justify your claim?
 
MTAZAMO WANGU NA MAONI KUHUSU MECHI YETU IJAYO


JUMAMOSI HII SAA MOJA NA NUSU USIKU VIJANA WETU WATAKUWA PALE ANFIELD KATIKA HARAKATI ZA KUSAKA POINT TATU MUHIMU DHIDI YA MOJA KATI YA KLABU BORA ZAIDI YA SOKA DUNIANI KWA SASANDIO NI KLABU BORA HILO HALINA UBISHINAAMINI NDIO TIMU AMBAYO STRIKER WAKE WAMEFUNGA MAGOLI MENGI ZAIDI LAST SEASON KULIKO WOTE EPL""""NDIO KLABU BINGWA ULAYA PIA PALE ANFIELD SIO UWANJA SALAMA KABISA KWA WAPINZANIWOTE TUNAKUMBUKA MESSI NA BARCELONA YAKE WALIINGIA PALE WAKALA 4 KWA SINIA

LAKINI HAYO YOTE HAYATUZUII SISI THE GUNNERS KWENDA KUCHUKUA POINT TATU MUHIMU PALEPALE ANFIELD ENDAPO TU TUTAENDA PALE NA MIPANGO MADHUBUTI YA KUTIMIZA LENGO LETU HILO KWA KUWA HATA IKITOKEA TUTAWAFUNGA HIYO HAITOKUWA MARA YA KWANZA

NAJUA BAADHI YETU MTAKUMBUKA MAY 8 2005 TULIMPASUA LIVERPOOL 3-1 MKUMBUKE HII NI ILE LIVERPOOL ILIYOKWENDA KUMPIGA AC MILAN PALE UTURUKI NA KUCHUKUA UEFAWAO NA SISI MPAKA SASA NDIO TIMU PEKEE AMBAZO ZIMESHINDA 100%YA MECHI ZAKE PALE EPL


NAJUA WENGI WANAIPA NAFASI KUBWA LIVERPOOL YA KUIBUKA LAKINI KAMA YAKIFANYIKA HAYA HAPA TUNAWEZA KUWAFUNGA WALE


(1)KUANZISHA WINGA WAWILI WENYE KASI


(2)VIUNGO WAWILI WAKABAJI

WINGA WAWILI WENYE KASI HAPO NAMAANISHA PEPE NA AUBA SIKU HIYO WAANZIE KWENYE FRANKSHII MAANA YAKE TUTAPUNGUZA KASI YA WALE MABEKI WAO WAWILI WA PEMBENI ALEXANDER ANOLD NA ROBERTSONWENGI TUNAAMINI KWAMBA LIVERPOOL WANAWATEGEMEA SANA WALE WATU WAO WATATU WA MBELE MANE FIRMINHO NA SALAH KATIKA KUSAKA MATOKEO LAKINI UKIANGALIA KIUFUNDI HAWA MABEKI WAO NDIO CHANZO CHAO CHA MAGOLI YAO KARIBIA YOTE NA NDIO MAANA YULE ANOLD ANAJIKUTA NA ASSIST NYINGI SANA ZA MAGOLI KUSHINDA BAADHI YA VIUNGOHIVYO KUWAWEKEA PEPE NA AUBA KULE PEMBENI KWA KIASI KIKUBWA ITAWAJENGEA HOFU YA KUPANDA MARA KWA MARA NA HIVYO KUPUNGUZA PRESHA GOLINI KWETU


(3)KUANZA NA VIUNGO WAWILI WAKABAJI HII MAANA YAKE ITATUPELEKEA TUANZE NA STRIKER MMOJA ILA KWA KUWA TUTAKUWA NA MAWINGA WENYE KASI HAIWEZI KULETA SHIDA

IFAHAMIKE KWAMBA CHANZO KINGINE CHA MAGOLI YA LIVERPOOL UKITOA MABEKI WAO WA PEMBENI WANATEGEMEA PIA BREAK THROUGH YAANI WANAKUNYANGANYA MPIRA KISHA WANAANZA KUKUSHAMBULIA KWA KASI HAPO UKUTE NYIE NDIO MLIKUWA MNASHAMBULIA HIVYO BAADHI YA WATU WANAKUWA HAWAPO HUKU NYUMA WAMESHAENDA MBELE HIVYO WAKIKUPATA HAPA LIVERPOOL NI LAZIMA WAKUNYOOSHE UKIZINGATIA WALE CENTRAL DEFENDERS WETU HAKUNA MWENYE KASI KUZIDI WALE MABWANA WATATU"""""HIVYO VIUNGO WAWILI WA KUKABA INAKUWA NI RAHISI KUKABILIANA NA HIZI BREAK THROUGH ZAO


NAAMINI TIMU IKIANZA HIVI TUTAWAPA SHIDA SANA WALE MABWANA


LENO
NILES
MONREAL
SOKRATIS
LUIZ
TOREIRA
PEPE
XHAKA
CEBALLOS
LACAZZETE
AUBAMEYANG




IKIWA LINE UP TOFAUTI NA HIYO BASI TUMUACHIE UNAI TU MAANA NDIO MUAMUZI WA MWISHO


Come on Gunners
IMG_20190809_080017.jpeg
IMG_20190820_190536.jpeg
 
Back
Top Bottom