Friends of Bunley ni kama tulivyokubaliana katika kikao kilichopita, tunakaba PAPA, tunakaba PEPE tunakuja kumalizia na kukaba PIPI.. FT Draw inatutosha
Control nakubaliana na wewe ila sio stamina, kijana rate yake ya ku-win mipira ya juu ni mizuri, ana pumzi za kutosha, ana stamina nzuri, he is one of us as well.