Naona nafas ya 6 mmeizoea tuwahamishie ya 8Watani zangu Gooners mmesajili ila mnasikitisha bado beki uchochoro. Nasema mtapigwa tuuu. Na kama kawaida top four ni changamoto kwenu. Ninachowapendea ni kwamba mioyo yenu imeshaota sugu kukosa makombe so maumivu kidogo yanadunda. Naomba niwape pole ya mapema maana hamtaamini mtakachokiona msimu huu kutoka kwa watoto wa OGS timu limekamilika tunabeki iliyosimama inaitwa Big HARRY MAGUIRE halafu hapo kati yupo POGBOOM hakuna kiungo mkali kama yeye Duniani kwa sasa kule mbele tuna GOLDEN BOY THIERRY HENRY MPYA MARTIAL. Nawaonea huruma.
Fikisheni ujumbe huu kwa jirani zenu wasumbufu na wabahili Spurs pia.
Nasubiri mabango ya January UNAI OUT
KLOP OUT NA PEP OUT hapo ndo heshima itarudi mjini. Hahahaha mmepozA kama uji uliolala siku mbili kwenye thermos.
Mkuu hii kitu nilikuwa sifahamu... Kumbe kuna possibility kubwa tukaongeza mchezajiArsenal remember we can still sign free players. The deadline for submitting final list is 2 September.
We jipe moyo tu lkn hali ya timu yako unaijua kimoyomoyo,mjiandae kujambishwa na kina Rushford,Lindgard,Martial na huyo mmasai wenu OGS hatoboi mwezi 12 na mashabiki wa Man mlivyokuwa na mioyo ya plastic,mtasusa sana kuiangalia timu yenu,mpaka sasa mshatimiza miaka 6 hamna EPL na mwaka huu mtaishia kunawa lkn kula hamli.Watani zangu Gooners mmesajili ila mnasikitisha bado beki uchochoro. Nasema mtapigwa tuuu. Na kama kawaida top four ni changamoto kwenu. Ninachowapendea ni kwamba mioyo yenu imeshaota sugu kukosa makombe so maumivu kidogo yanadunda. Naomba niwape pole ya mapema maana hamtaamini mtakachokiona msimu huu kutoka kwa watoto wa OGS timu limekamilika tunabeki iliyosimama inaitwa Big HARRY MAGUIRE halafu hapo kati yupo POGBOOM hakuna kiungo mkali kama yeye Duniani kwa sasa kule mbele tuna GOLDEN BOY THIERRY HENRY MPYA MARTIAL. Nawaonea huruma.
Fikisheni ujumbe huu kwa jirani zenu wasumbufu na wabahili Spurs pia.
Nasubiri mabango ya January UNAI OUT
KLOP OUT NA PEP OUT hapo ndo heshima itarudi mjini. Hahahaha mmepozA kama uji uliolala siku mbili kwenye thermos.
Yes, tunaweza ongeza mchezajiMkuu hii kitu nilikuwa sifahamu... Kumbe kuna possibility kubwa tukaongeza mchezaji
We jipe moyo tu lkn hali ya timu yako unaijua kimoyomoyo,mjiandae kujambishwa na kina Rushford,Lindgard,Martial na huyo mmasai wenu OGS hatoboi mwezi 12 na mashabiki wa Man mlivyokuwa na mioyo ya plastic,mtasusa sana kuiangalia timu yenu,mpaka sasa mshatimiza miaka 6 hamna EPL na mwaka huu mtaishia kunawa lkn kula hamli.
Wenzetu wameuza makoa wamebakia na visu,nyinyi mmeuza visu mmebakia na makoa,timu huna huyo Magure na Mustafi ,Mustafi bora kuliko Maguire na wachezaji wenyewe wauingereza kama saa mbovu.
Ukitaka kufika kumi basi ujue 6 ulishaipita na nyie ndipo mnapoelekea ,ngojea niishike ID yako alafu tutatafutana manake hauchelewi kujipiga Ban,Man zamani we sasa hivi timu huna.Unatupigia makelele na Forward yako ya Rashford,Lingard na Martial ,hapo bado akiumua Pogba basi shughuli imeisha,TIMU HUNA ,endelea kujipa moyo kwani Safari ya matumaini ishaanza.Cha muhimu kila MTU ashinde za nyumbani halafu tukutane tuone nani mwanaume. Mtapigwa tu na bora sisi miaka sits bila EPL nyie ni miaka mingapi sasa? More than a decade hahaha hahaha.
Iwobi ni kama Origi wa Liver, ana bahati ya magoli sana. Hili ni kosa kubwa amefanya uyu UnaiIwobi kuondoka nimesikitika sana
Timu zinaumiza akilo juu ya usajili wa Man city na Spurs sio wa arsenalWanaumia kweli asee
Timu zinaumiza akilo juu ya usajili wa Man city na Spurs sio wa arsenal
Hakuna timu inakunyima raha km Arsenal mkuu, body language inaongea.Chelsea, sisi Arsenal tupo tayari game zote tuchezee kwenu, mana mkija Emirates ni sawa na kuwaonea tu.Timu zinaumiza akilo juu ya usajili wa Man city na Spurs sio wa arsenal