Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
saka ujamuweka aiseeHawa ndio wapiganaji wetu Arsenal 2019-20 ukiwatoa wale walioenda kwa mkopo
Makipa:
Bernd Leno, Emiliano Martínez, Matt Macey
Mabeki:
Sokratis Papastathopoulos, Rob Holding, David Luiz, Ainsley Maitland-Niles, Hector Bellerin, Callum Chambers, Shkodran Mustafi, Kostantinos Mavropanos, Kieran Tierney, Sead Kolasinac, Nacho Monreal.
Viungo/ Winga:
Nicolas Pépé, Mesut Özil, Henrikh Mkhitaryan, Lucas Torreira, Dani Ceballos, Granit Xhaka, Mattéo Guendouzi, Reiss Nelson, Emile Smith-Rowe, Joe Willock, Mohamed Elneny.
Washambuliaji:
Pierre-Emerick Aubameyang, Alexandre Lacazette, Gabriel Martinelli.
Walioenda kwa mkopo:
William Saliba, Jordi Osei-tuti, Ben Sheaf, Eddie Nketiah.
kila la heri ArsenalView attachment 1176351View attachment 1176352
Umeongea vzr sana mkuu,Nimependa bei tuliyopata kutoka kwa Iwobi. Actually nilifikiri hana thamani ile, ingawa naamini tulitakiwa kubaki naye. Liva wamebaki na Origi kwa ajili ya kiwango alichoonyesha mechi 2 tu.
Mustafi siyo mbaya. Takwimu zake zipo vizuri kuliko Virgil, isipokua midfielder yetu haikua nzuri hivyo mpira ulikua unashinda mno kwa Mustafi.
Nina imani na Bellerin na Holding. Too bad Niles simuoni katika potential first XI yetu, ni mchezaji poa aliimprove kila mechi.
Guendouz simkubali kwakua hana stamina at the same time hana spidi. Surprisingly na control hana. Kwa m
ninavyomuona nahisi bado yupo na hizo shortages.
Kama PES player wa PS2 Lacazette inapendeza akitokea wing ya kulia Pepe ya kushoto na Aubameyang akae katikati. Pepe na Laca ni fighters, wanakaa na mpira vizuri kumzidi Auba. Auba ni scorer mzuri kuliko kua mleta mipira kwenye dimba.
Kumuweka pembeni means kupoteza mipira eneo hilo.
Msimu uliopita Laca alikua na assisst nyingi kuliko Ozil. Ni ajabu kidogo ukizingatia nafasi zao uwanjani. Ozil akiwa on fire hua inakua mara mbili ya kawaida akiwa nyoro hua inakua mara 7 ya kawaida, pia hana consistency. Ingawa siyo swala kwa kipindi hichi tulichompata Cebalos.
Xhaka na Toreira walikua poa, hope moto ni ule ule. Pia formataion ya 3 4 1 2 naona ni nzuri ila isichezwe kwa kila mechi.
Ni formation ya kukaba mno wakati mechi zingine tunataka kushinda, pia ni formation ngumu ikiwa mid yako ni Guendouz na Ozil.
Naipa striking yetu 79%
Midfield 77%
Beki 78%
Hiyo ni kwa sasa.
Elneny aende. Hiyo bila kuuliza.• Mustafi - Arsenal are still talking with a Ligue 1 club as well as two clubs in Italy and one in Germany.
• Elneny - Galatasaray and Arsenal are still at the table, as well as another club in Europe.
• Chambers - Arsenal have had two approaches from clubs abroad.
Mbona picha za Luiz ndo zimejaa tu umu au ndo usajili mkubwa kwenu
Wawezaje sainisha 'main target' dakika za lala salama?Everton have completed the signing of Alex Iwobi.
Marco Silva: “Alex was one of our main targets for this window and I believe he is a fantastic signing. He is a direct and skilful winger and fits exactly the profile of player I want in my model." View attachment 1176425
Game ya kwanza na ya pili ni dhahir hatutakuwa na kikosi kinachokaribia kuwa strong.
Nafikir mpaka pepe azoee kidogo, Bellerin na Tierney wawe fiti, hapo ndio tutapata kikosi chetu bora.
Kesho Kocha atafanya press kuhusu mechi ya Newcastle
Stress za huko unyumbuni unaleta hukuHizi ndio sababu lazima muwe nazo mkianza kula kipondo
Niamini mm asenane uu msimu mtafukuza kocha
Hamtafika mwez 10 mtaanza Ole out ,Hizi ndio sababu lazima muwe nazo mkianza kula kipondo
Niamini mm asenane uu msimu mtafukuza kocha