makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,989
- 104,475
Mbona hapo tunalemba muandiko kwenye imla!! Chukua huyo coutinho piga bei iwobi..HAYA KIA J wakala wa LUIZ NA COUTINHO AMBAYE PIA NI ARSENAL FAN Ameipa OFA ARSENAL YA KUMCHUKUA COU10
Arsenal naona wana delay inabid IWOBI NA MICKY mpaka waondolewe
Kieran Tierney and David Luiz to Arsenal, here we go! Philippe Coutinho has been offered by his agents again but #AFC are not interested now.️ #transfers #CFC #Arsenal
View attachment 1175369
Kabisa mkuuMbona hapo tunalemba muandiko kwenye imla!! Chukua huyo coutinho piga bei iwobi..
Everton inabid warud na 40+ ili arsenal wa activate dili lingine ,na muda unakimbiaMbona hapo tunalemba muandiko kwenye imla!! Chukua huyo coutinho piga bei iwobi..
Tumepewa OFA na barca ya kumchukua Coutinho
Ila Arsenal eti wanajishauri
Maybe we signed David Luiz over Rugani because we have assurances that next year we are signing Upamecano. Therefore, signing Rugani would be counterproductive given the price and age.
Since last year mkuu, we have been good in transfer activitiesBinafsi nimeridhika na mabadiliko yanayoendelea ndani ya Arsenal. Ujio wa Raul & Edu umeleta kitu tulichokua tunakimis muda mrefu under Wenger.
Transfer window hii tumekua active kulinganisha na vipindi vya nyuma. Mabadiliko bado yanaendelea, tusubiri tuone ila the future is exciting.
Kwa usajili huu acha tu ligi ianze.
Mdau haja-question uwezo wa Rugani.Soma tena maoni yakeHivi wewe unaufahamu uwezo wa Rugani? au unaropokwa tu? Dogo kiwango yule.
Namjua toka empoli , had hapo juve anakula mkeka ,sio mbaya , ila ni heri tumepata luiz kwa short term ,then Tutarud sokon kwa DayotHivi wewe unaufahamu uwezo wa Rugani? au unaropokwa tu? Dogo kiwango yule.
Mdau haja-question uwezo wa Rugani.Soma tena maoni yake
Inabidi wamruhusu wakirud na ofa ya pili.Everton inabid warud na 40+ ili arsenal wa activate dili lingine ,na muda unakimbia
Huwez kumfananisha DAYOT na ruganhuyo Upamecano ni mchezaji wakawaida mno. Ni debe kubwa kwa kua ni mfaransa. Na pesa ni nyingi sana wanazotaka. Rugani anaweza sajiliwa kwa nusu yake tu. Na ana potantial kubwa ya kuwa Big player. Mana ni very talented defender alichokosa ni uzoefu tu mpaka sasa.