Amini utakumbuka maneno yangu huwa hayuko vizuri sio leader kama ana papara hivi.Duh kwahiyo unamuhukumu mtu kwa kosa la miaka kadhaa nyuma hahahaha juzi madrid wamepigwa 7 na atletico je nani alikuwa dhaifu katika marking?
Amini utakumbuka maneno yangu huwa hayuko vizuri sio leader kama ana papara hivi.Duh kwahiyo unamuhukumu mtu kwa kosa la miaka kadhaa nyuma hahahaha juzi madrid wamepigwa 7 na atletico je nani alikuwa dhaifu katika marking?
Kwahiyo upo tayari acheze mustafi?Amini utakumbuka maneno yangu huwa hayuko vizuri sio leader kama ana papara hivi.
Nawashangaa wanaomkataa luiz , INA maana wanataka aendelee kucheza mustafi?Duh kwahiyo unamuhukumu mtu kwa kosa la miaka kadhaa nyuma hahahaha juzi madrid wamepigwa 7 na atletico je nani alikuwa dhaifu katika marking?
Mm naona bora huyu kuliko mustafiLuiz??, mmmh!
L'Équipe report that Arsenal Technical Director Edu's deadline day priority is David Luiz & that moves for Daniele Rugani (Juventus) & Dayot Upamecano (Leipzig) have failed; they mention Samuel Umtiti (Barcelona) as a possible other option .Luiz??, mmmh!
Mustafi's got potential, shida yake ni common errors every now and then. Kama ameshindwa ku-justify nafasi yake basi aondoke waje watu wengine.Mm naona bora huyu kuliko mustafi
Sky suggest that Arsenal defender Shkodran Mustafi is potentially on his way to a Ligue 1 club today.
Luiz anavyozidi kugoma Bei inashuka
Arsenal hoping to sign David Luiz for as little as £5m (Sami Mokbel)
Mkuu naona mahaba yamezidi sasa. Japo Luiz ni mzuri hasa timu ikiwa na umiliki wa mpira ila ana mapungufu yake. Sio mzuri kwenye marking pia muda mwingi anakua out of position.Huyo liuz uwezo wake ni mara 5 ya segio ramos, mara 10 ya vvd
Huyo anatania tuMkuu naona mahaba yamezidi sasa. Japo Luiz ni mzuri hasa timu ikiwa na umiliki wa mpira ila ana mapungufu yake. Sio mzuri kwenye marking pia muda mwingi anakua out of position.
Huu ndio umuhimu wa kuwa na mtu kama Edu, deal kama hizi zinakua uhakika.The day has arrived! To start us off,
Arsenal have agreed to pay Chelseafc £8m for David Luiz - 2-year deal. No doubt, new Arsenal Technical Director Edu right behind getting his fellow-Brazilian in at the Emirates.View attachment 1175228
Hata dili la Coutinho aliyeharibu ni Madrid kumtaka neymar, hawa wahuni walishalimalizaHuu ndio umuhimu wa kuwa na mtu kama Edu, deal kama hizi zinakua uhakika.