Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Krystian Bielik will undergo medical tests tomorrow and sign a 5-year contract with Derby County. Fee in the region of 10m pounds [Tomasz Włodarczyk - Przegląd Sportowy]
 
Nakumbuka juzi Emery akiulizwa kuhusiana na usajili alisema anahitaji wachezaji wa kuisaidia timu na akasema mpango wake Arsenal anataka iwe kati ya Man City na Liverpool
If we get Zaha and manage to reinforce our defence with at most three big signings, basi no-one will be talking about Lfc and Man-City dominance.
 
Nifumbue macho kuhusu CB unajuwa mimi nilikuwa fan wa Arsenal kitambo baadaye toka 2010 niliapa endapo akiondoka Wenger ndipo nitaifatilia Arsenal katika kila hali
Kabla dirisha halijafungwa tunashusha CB
 
Bado tunahitaji mwaka mmoja kwanza kutengeneza chemistry ,
Mkuu hatuhitaji combo yoyote, hii gari inawakia kwenye gear hata game 5 hazifiki utajionea mwenyewe , labda wakina Mustafi wazingue nyuma huku.Lakini huko mbele sio mchezo eti! tena huyo AUBAMEYANG ndo naona km speed imejiupgrade zaidi,
 
Nifumbue macho kuhusu CB unajuwa mimi nilikuwa fan wa Arsenal kitambo baadaye toka 2010 niliapa endapo akiondoka Wenger ndipo nitaifatilia Arsenal katika kila hali
Tuna tatizo la Center back , hivo juzi kocha aliahid kabla dirisha halijafungwa atalifanyia kazi kwa kuleta Back ,japo soko ni gumu
 
Mkuu hatuhitaji combo yoyote, hii gari inawakia kwenye gear hata game 5 hazifiki utajionea mwenyewe , labda wakina Mustafi wazingue nyuma huku.Lakini huko mbele sio mchezo eti! tena huyo AUBAMEYANG ndo naona km speed imejiupgrade zaidi,
Mustafi anatafutiwa timu ya kwenda , permanent au loan ...japo analeta kiburi

IMG_20190731_140405.jpeg
 
Halafu huyu UNAI ningemuomba amuamini OZIL , CEBALLOS na LT11 kwenye kiungo, hata Mpira hauwezi potea kizembe hapo.Na Ozil ni mzuri pale timu inapokua ina watu wengi wa kuwategemea.

Ozil akicheza free ni bonge la mchezaji ila sasa ukimpanga na IWOBI na Xhaka, what do you Expect??(sio kwamba xhaka na iwobi ni wabaya,..hapana, ila wanamakosa mengi sana) Ozil anahitaji watu walio clinical enough.
Refer ile combo ya Ozil,carzola,Sanchez na Theo walcot, alikua anapiga mpira mwingi,ila sio Ozil aperform kwa Arsenal ya kina MUSTAFI.
Huyu KOSCIENLY mwenyewe kachoka siku hizi, nyonga ngumu akiruka juu hafiki yani shida tupu.
 
Mustafi anatafutiwa timu ya kwenda , permanent au loan ...japo analeta kiburi

View attachment 1168566
Wamuache apambanie nafasi naona anataka kuudhihirishia ulimwengu kwamba yeye sio flop, nahisi ile ishu ya kumzomea ilimuuma sana ndio maana anataka atuprove wrong.
Ila mimi mwenyewe huwa sishawishiki kama uwezo wake ndio umeishia pale
 
Halafu huyu UNAI ningemuomba amuamini OZIL , CEBALLOS na LT11 kwenye kiungo, hata Mpira hauwezi potea kizembe hapo.Na Ozil ni mzuri pale timu inapokua ina watu wengi wa kuwategemea.

Ozil akicheza free ni bonge la mchezaji ila sasa ukimpanga na IWOBI na Xhaka, what do you Expect??(sio kwamba xhaka na iwobi ni wabaya,..hapana, ila wanamakosa mengi sana) Ozil anahitaji watu walio clinical enough.
Refer ile combo ya Ozil,carzola,Sanchez na Theo walcot, alikua anapiga mpira mwingi,ila sio Ozil aperform kwa Arsenal ya kina MUSTAFI.
Huyu KOSCIENLY mwenyewe kachoka siku hizi, nyonga ngumu akiruka juu hafiki yani shida tupu.
heheheh....et nyonga ngumu
 
Back
Top Bottom