Huyu mwehu anatakiwa aondoke ,msimu wa pili huu ana tucost , amesababisha ionekane msimu uliopita Chelsea waonekane walikuwa bora kuliko sisi,Mustafi Mustafi Mustafi .
Kama unaniskia nikuombe msimu huu utulipe gharama ya machungu uliyotuletea last season.
Still wengine tunakuamini, tuliza kichwa hicho.Mbona ulikua vizuri mwanzo, unakwama wapi nowadays.
Naikumbuka hiyo mkuu, me mwenyewe alinikera sana, tulipigwa goli mbili za fasta within 10 minutes kwa uzembe wa backline, wanapiga maboko tu.Huyu mwehu anatakiwa aondoke ,msimu wa pili huu ana tucost , amesababisha ionekane msimu uliopita Chelsea waonekane walikuwa bora kuliko sisi,
Kuna mechi inaniuma mpaka Leo, aliikimbia baada ya kuchoma ,ilikuwa dhid ya man u ,tuliwadaka kila idara , akachoma akakimbia mechi, kipind De gea anafanya ON TARGET SAVE 14
Usajili News: Arsenal wanamfukukia beki wa kati aka mkoba, aitwae Ruben Diaz.
Hakika ikiwa kweli habari zipo basi Arsenal inaelekea kuwa moto.
Jamani fualtileni mechi ya Holland na Porugal iitwayo Nations Cup ilochezwa mwezi ulopita na muangalie wenyewe kazi za huyu mkoba au skipper, wa timu ya Benfica ya Portugal.
Mustafi na Laurent Koscielny out!!
Naongeza idadi ya jezi ya ugenini na nyumbani muda si mrefu.
Diaz ana umri wa miaka 22 na ana release clause ya pauni milioni 67.
Kwa hakika ni top gun , go Arsenal and Kroenke go and get him.

Mkuu King, hela iliyopo ni ndogo tu, ila dili zote zinalipwa kwa installments ,Kufuatia dili la Pepe kuwa ni Kubwa (£80m) si rahisi kwa Arsenal kusajili tena Mchezaji wa more than £50m+ kwa dirisha hili.
Huyu mwehu anatakiwa aondoke ,msimu wa pili huu ana tucost , amesababisha ionekane msimu uliopita Chelsea waonekane walikuwa bora kuliko sisi,
Kuna mechi inaniuma mpaka Leo, aliikimbia baada ya kuchoma ,ilikuwa dhid ya man u ,tuliwadaka kila idara , akachoma akakimbia mechi, kipind De gea anafanya ON TARGET SAVE 14
Anaondoka ,subiri uone ,kashatucost sana ,achana hiyoo tu nakuna ile ya crystal palace , mustafi alicheza boko ya hatarii mpaka alisababishia golii..jamaa ni fala kweli