joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,935
- 40,150
We kwani umemjulia wapi?Tatizo lako moja nishabishana na ww sana,sio kila anayeikosoa timu haipendi timu,kwani timu inaongozwa na watu ambao ni wadhaifu so wanapokesea nitasema najua ulichomaanisha ila hiyo ni typing error na SI IREKEBISHI .Ila wabongo tuna vituko sana,..hahahaah!
Huyo NDOMBELE mwenyewe ukute umemjua baada ya kusajiliwa SPURS.
Relax mkuu, hii timu yetu sote.We kwani umemjulia wapi?Tatizo lako moja nishabishana na ww sana,sio kila anayeikosoa timu haipendi timu,kwani timu inaongozwa na watu ambao ni wadhaifu so wanapokesea nitasema najua ulichomaanisha ila hiyo ni typing error na SI IREKEBISHI .
Tatizo lako hili moja unazani kila anayeikosoa haipendi timu.Relax mkuu, hii timu yetu sote.
Laca kasain miaka minne arsenal ,ARSENAL STRIKER ALEXANDRE LACAZETTE 'NEGOTIATING LA LIGA MOVE
Alexandre Lacazette has told Arsenal he wants to leave this summer in order to join an unnamed La Liga club, according to reports.
El Mundo Deportivo cite a report from Yahoo Sport FR which claims the meeting will centre on the France international’s future in North London - and while no team has been named, the striker has previously been linked to Atletico Madrid.
Hahahahahahahahah Tunamkataba nae mpaka 2023 sisi Crystal palace hatuna wasiwasi yeye apush tuUzuri wa dili la zaha ,yeye mwenyewe ana push
Umejuaje bajeti yetu ni 40m?Woodward hana weledi na mambo ya mpira anajua biashara zaidi ndio mana sisi tunataka Director Of Football hapo biashara itafanyika na mpira utafanyika. Ingekuwa ni hela asingenunua wachezaji wadogo kama Wan Bisaka kwa £50 mil au kupeleka ofa ya paundi mil 70 kwa mtu kama Maguire
Hahahahahahahahah tuumize kichwa kwa timu ambayo kila msimu tunajipigia 4 ,5Kuna watu humu yaani ss kusajili kunawaumiza vichwa...dah!!
Calm down boss....duhWe kwani umemjulia wapi?Tatizo lako moja nishabishana na ww sana,sio kila anayeikosoa timu haipendi timu,kwani timu inaongozwa na watu ambao ni wadhaifu so wanapokesea nitasema najua ulichomaanisha ila hiyo ni typing error na SI IREKEBISHI .
Nan huyo wa kwanzaToroera na Auba apo wanapoteza muda tu ..wameona bora waondokee