Kwema wadau?
tetesi za asubuhi asubuhi
Ac Milan wanajaribu kuweka offer litakalomshawishi Lucas Torreira kwenda kuwatumikia ikiwa ni uwekezaji mkubwa wanaopanga kuufanya kuimarisha kikosi
Arsenal ni kama watapata upinzani kutoka Bayern Munich ambao wapo tayari kutoa £30m kwa ajili ya kunasa sign ya Yannick Carraso endapo Man City wakizuia Leroy Sane kwenda Bayern...
Darren Burgess aliyekuwa director of High performance anatarajiwa kuondoka Arsenal, inavyoonekana backroom ya Arsenal inavurugana sana juu ya matokeo ya timu kwa msimu ulioisha.
Hector Bellerin anatarijiwa kuwa captain wa team kwa msimu unaoanza. Ikumbukwe Arsenal walikua na makapteni wa 5 Koscienly,Ramsey,Granit,Petr na Ozil ambapo tayari Ramsey na Petr wanaondoka Kos na Ozil uwepo wao tena Arsenal una mashaka. Hivyo anabaki Xhaka peke yake.
Arsenal wamewapa muda Napoli mpaka mwisho wa wiki wawe wamefanya maamuzi kama watakua tayari kutoa £3.1m kwa ajili ya kumsign David Ospina kwa permanent deal.
Vyombo vingi vya habari vinamtaja Ryan Fresser kutoka Bournemouth kuwa ni chaguo sahihi kwa Arsenal kama itamsajili na bei yake ni £ 20m. ila bajeti ndogo ya Arsenal ndio inawapa wakati mgumu na kama watamkosa Carraso basi watahamia kwa Ryan.