Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Mkulu naona meno yote 32 nje.Tunaongoza hapa moja,lansbury kafunga assisted by wilshere.
Naona Arsenal wameleta kikosi karibia full..ha ha ha ..
Mkulu naona meno yote 32 nje.
Ok..huwa sijali carling cup.
Ok..
Spurs wanapenda mbio na krosi..beki yangu inajiachia sana watakamatwa kwenye counter attack.
Spurs wanapenda mbio na krosi..
Spurs wanapenda mbio na krosi..
Mkulu Spurs wana matatizo ya kukaa na mpira. Huwezi kupanga mashambulizi kama huna mpira.yaaap.wakitulia watarudi manake bado nina wasi wasi na beki.
Mkulu Spurs wana matatizo ya kukaa na mpira. Huwezi kupanga mashambulizi kama huna mpira.