Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Unai Emery iondoe hii mizoga;
Mustafi, Iwobi, Lichtsteiner, Elneny, Mavropanos, Monreal, Jenkinson, Wekbeck, Denis Suarez.
Sipati picha watakavyokuwa wanashangilia kwa nguvu kuuubwa kuliko hata the gunners wenyeweHII NDIYO MAANA HALISI YA KUFA KUFAANA.
Unaambiwa kufungiwa kwa Manchester City kutawapa faida Arsenal na Manchester United kucheza Uefa.
Arsenal yupo na fasi ya 5 na Man U yupo nafasi ya 6.
Arsenal watapata faida hata kama hawajashinda Europa kwa vile wapo nafasi ya 5 watasogezwa juu ili zitimie timu nne kama kawaida.
Ila Man U wao watategemea matokeo ya Arsenal washinde Europa Arsenal wakibeba kombe la Europa watakuwa wame fudhu kupitia Europa ndipo Man U watachukuliwa kuziba nafasi ya Man City ili zitimie timu 5.
Kama Arsenal wasipochukua kombe la Europa itakua faida kwa Arsenal tu na Man U itakula kwao.
Hapo nawaona siku hiyo wale mashabiki wote wa Man U waliopanga kuishangilia Chelsea wataamia kuishangilia Arsenal sasa...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa Uefa walilazimishwa kupeleka fainali huko BAKU? Matokeo yake timu zinalalamika tu usafiri shida, mashabiki wanashindwa kusafiri tiketi zimepanda maradufu.Arsenal statement on EL Final:
"We are bitterly disappointed by the fact that due to transport limitations UEFA can only make a maximum of 6,000 tickets available to Arsenal for a stadium with a capacity of well over 60,000."View attachment 1099430
Wapuuz sana nimeona hata klopp kalamika hili la kuipeleka fainal BAKU, halafu wanatoa tiketi 6000 kwa timu inayojaza uwanja wa watu 60,000 ,Hawa Uefa walilazimishwa kupeleka fainali huko BAKU? Matokeo yake timu zinalalamika tu usafiri shida, mashabiki wanashindwa kusafiri tiketi zimepanda maradufu.
Kupewa tiketi 6,000 ni chache sana kwa timu.
Mustafi alikua beki mzuri sana mwanzoni.. Ila ameshindwa kufikia ubora tuliotegemea. Mwanzoni hata timu ya Taifa alikua ni regular starter, sasa hata Rudiger ni mzuri sana kwake..Usajili umefunguliwa rasmi jana usiku. Wazee wa tetesi tumeanza na Walter Kanneman ambapo taarifa zinasema arsenal tumetuma rasmi ombi la kumsajili beki huyo wa kati wa kimataifa Argentina anayekipiga ktk klabu ya Gremio
Arsenal imekuwa ikimfuatilia Kannerman kwa muda mrefu sasa
Halaf ni left foot
Kanemman ni mzee wa viatu na Anakaba kwa nguvu ngoja tuone dili litaendaje
Hapa naziona taa nyekundu zikimuwakia Mustafi.
HV jamaa anakwama wapi mbn kwangu namuona ni beki aliyekamilika ukimchek kwa haraka???
Mfn ana nguvu,ana mbio,anajua kutembea na MTU na akamvuluga asifanikishe lengo n.k ambazo NADHANI ni sifa za beki no4 yeyote!
Nlikuw namwelewa Mustafi sana ila ameniangusha kwa kiwango cha lami.
Hapo ni kuipa tabu club juu ya kuuza hizo tickets..6,000 pale Emirates ni kajukwaa kadogo tu.Wapuuz sana nimeona hata klopp kalamika hili la kuipeleka fainal BAKU, halafu wanatoa tiketi 6000 kwa timu inayojaza uwanja wa watu 60,000 ,
Nausubiri kwa hamuUzi wa Arsenal bado haujaachiwa?
Kwa tetesi tu timu yetu inajitahidi sana lakini utekelezaji poor sana.
Option AArsenal x Adidas kit deal will officially start from July 2019... 25 years on from when they last wore the famous three stripes!
New deal will bring Β£60m a season for five years and returning back to Adidas since 1994.
Which is your preferred option π¦ π§ π¨ or π©? View attachment 1101205