Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu Spurs kafa tenaSasa tuache masihara
Kesho tushinde
Spurz kafa, kwahiyo hata man u mpaka sasa ana nafas ya kuingia top 4Mkuu Spurs kafa tena
Dah mechi yao ya mwisho nadhani ni EVERTON dah wamekwisha.Spurz kafa, kwahiyo hata man u mpaka sasa ana nafas ya kuingia top 4
Halafu wana red card,Dah mechi yao ya mwisho nadhani ni EVERTON dah wamekwisha.
Mwendawazimu tu huyu na rasta zake za kudengea wazungu mademu beach..HAPPY BIRTHDAY to MR. NUTMEG @alexanderiwobi
View attachment 1087830View attachment 1087831View attachment 1087833
Baada ya madirisha ya usajir mawili yajayo hawez kuwepo arsenal ,maana emery anahangaika kutafuta winger ,huyu dogo ataondoshwa kwa kuuzwa au mkopoMwendawazimu tu huyu na rasta zake za kudengea wazungu mademu beach..
Hafai kuchezea arsenal yetu
Itakuwa jambo la busara!! Maana huyu iwobi ni wa brighton huko na huesca!!Baada ya madirisha ya usajir mawili yajayo hawez kuwepo arsenal ,maana emery anahangaika kutafuta winger ,huyu dogo ataondoshwa kwa kuuzwa au mkopo
Hana mipango yakinifu!! Hana maamuzi ya haraka, mzembe, hajui kujipanga mbele ya lango la adui, sio mfungaji mzuri, hana jicho la pasi yaani yupo yupo tuu.Kinakimbia kimbia tu kisengerema
Dah! si Wasajili hata hao watoto wakibrazil watatunufaisha mbeleni huko aisee.| Imagine these two flying through the wings of the Emirates. Two top Brazilian prospects. Gabriel Martinelli and Antony. Both heavily linked with Arsenal.
Jogo Bonito at the carpet.
Pure skill and flair.
One is already secured according to reports,
and the other one, loading! https://t.co/SpjQUGuaE5View attachment 1088074View attachment 1088075
Yule dogo alizingua ,tukamchukua Matteo ,Dah! si Wasajili hata hao watoto wakibrazil watatunufaisha mbeleni huko aisee.
Sa unakuta wanaacha vipaji wanaenda kuchukua watu wa ovyoo, yule adli yacine nilitamani sana angesajiliwa kipindi kile, anaujua mpira sana.