Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Inabid twende top 4 kwanza,- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.
Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.
Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.
Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.
Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.
Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.
Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.
Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Cristian Ericson wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.
Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.
Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.
Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.
Sisi pia sio maboya ,mech 3 mfululizo tubondwe,? Aisee hakuna namna kesho man u anashinda na arsenal tutausaka ushindi ,Kesho anakaaa lazima....sema hiyo mech ya Arsenal kuna namna fuln nataka iwe.
Tukimpata barela , zaha, na baily ,- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.
Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.
Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.
Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.
Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.
Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.
Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.
Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Cristian Ericson wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.
Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.
Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.
Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.
Mpira hauna kauli za BOYA mkuu kama timu ni mbovu utafungwa tuMan u sio boya apigwe 3times , tena kesho kwa Chelsea,OT
Haya umesikikaMpira hauna kauli za BOYA mkuu kama timu ni mbovu utafungwa tu
Na kesho ukimfunga Leicester pale King Power nakuwa shabiki wa Arsenal rasmi .Haya umesikika
Wewe hueleweki hata liver umevamia siku hizi, mimi nakutambua kama mamlukiNa kesho ukimfunga Leicester pale King Power nakuwa shabiki wa Arsenal rasmi .
- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.
Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.
Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.
Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.
Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.
Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.
Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.
Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Cristian Ericson wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.
Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.
Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.
Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.
- Wachezaji wengi kuuzwa au kuondolewa Arsenal ikijiandaa na msimu ujao wa 2019/20
- Nicolo Barella wa Gagliari ya Italia anafukuziwa kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
- Schodran Mustafi anaongoza orodha ya wachezaji wasohitajika.
Arsenal wanamhitaji nahodha wa Cagliari na kiungo mshambuliaji Nicolo Barella.
Bodi ya Arsenal imemhakikishia kocha Unai Emery kitita cha kutosha kufanya usajili wa aina yake endapo tu Arsenal itafuzu kucheza ligi ya mabingwa wa Ulaya msimu ujao.
Pamoja na mabeki Calum Chambers (yuko Fulham kwa mkopo) na Rob Holding ambae alikuwa majeruhi na sasa amepona, pia yupo beki wa kulia Hector Berellin.
Ipo orodha ya wachezaji ambao endapo Arsenal itawasajili msimu ujao basi Arsenal haitakuwa na shida ya kuwa moja ya timu tishio.
Wachezaji kama mshambuliaji wa pembeni wa Crystal Palace Winfried Zaha, beki wa kati Samuel Umtiti wa Barcelona, Malcom wa Barcelona ni miongoni mwa wachezaji kadhaa aliopo kwenye orodha ya mahitaji kusajiliwa msimu ujao.
Mchezai wa kiungo wa Cagriali Nicolo Barella ndie anaeangaliwa kuja kuziba nafasi ya Aaron Ramsey.
Barella ana uwezo wa kupokonya mipira katikati na kumpasia Alexandra Lacazette ili aweze kufunga, kazi ambayo imemshinda Mesut Ozil kwa kiasi kikubwa khasa kwenye mechi za ugenini.
Kazi afanyazo Barella awapo katikati ya uwanja na timu yake hufanana kabisa na kazi wafanyazo Cristian Ericson wa Tottenham, au Bernado Silva wa Machezster City au Willian wa Chelsea.
Hivyo Iwapo Barella atasajiliwa na Arsenal basi atacheza akiwa mbele ya Granit Xhaka na Lucas Torreira na nyumba ya mshambuliaji Alexandra Lacazette.
Ntaanza kushuka na baadhi ya "target" za Arsenal kwa msimu ujao baada ya mechi na leicester kesho mchana.
Arsenal inahitaji wachezaji kama 5 hivi ili kuwa timu imara zaidi khasa kwenye nafasi ya mabeki, kiungo na mshambuliaji wa pembeni.
Ni uzushi huo mkuuIf my memory serves me right Emery has been promised by the club a budget of only 45 million GBP for the next season!!
That’s a very thin war chest! Manake hata Mitrovic wa Fulham hutampata kwa budget hiyo
Mkuu hizo habari si za kweli,
Mkuu hizo habari si za kweli,
Ukweli ni huu iwapo Arsenal itafuzu UCL, itaspend £100m-150 ,
Maana kuna mpunga wa adidas £60m unaingia June, na kuna wachezaji 6 wanaondoka ,hivo replacement yao haiwezi kuwa 40 , hii habari ni fake
Cech ,nacho,neny,mustafi,Micky,Ramsey , na welbeck 50/50, kos6 70% anaondoka,,
Ndio maana wanakwambia ni 45 wengine 40,
Ni rubbish, tegemea matumiz ya £100m na 150 itafika kutokana na hela watakayouzwa, mustafi 20-25, neny 10-15,welbeck 10-20, Micky
Unawaamini the mirror na the sun,metro na independent?bado unaziamin kama ndio source zako?Ndio maana nimekuwekea evidence hapo juu. Weka hapa hizo habari zote hapa kwa faida ya wote
Unawaamini the mirror na the sun,metro na independent?bado unaziamin kama ndio source zako?
Mkuu hizo evidence usiziamini achana nazo,Ndio maana nimekuwekea evidence hapo juu. Weka hapa hizo habari zote hapa kwa faida ya wote
Unawaamini the mirror na the sun,metro na independent?bado unaziamin kama ndio source zako?
Nimekwambia hizo ni sawa na udakuThe same budget figures imetangazwa via Fox Sports, ESPN etc
Mkuu hivyo vyanzo vyako mm huwa naviita udaku