Arsenal (The Gunners) | Special Thread

According to MailOnline, we're eying a move for Man United defender Eric Bailly

The Sun report that we’re set to miss out on Ajax left back Nicolas Tagliafico
Umezinduka na motoo
Cheki kwanza hilo tambara bovu👇👇
Your browser is not able to display this video.
 
Yako ingekuwa njema, usingebondwa 6-0,4-0 mfululizo

Baada ya 38 games , utajua nan mbovu na nan yupo njema
Unasubiri 38 games ndio ujue nani mbovu? Mbona inajulikana wazi kuwa arsenal tayari chali. Leicester anakusubiri mmaluzane vizuri
 
Unasubiri 38 games ndio ujue nani mbovu? Mbona inajulikana wazi kuwa arsenal tayari chali. Leicester anakusubiri mmaluzane vizuri
Umekuwa mganga wa kienyeji,

Nitakuja kukumbusha maana unajuaga kutabiri vice versa,

Mimi sina wasiwasi na chelwowo
 
"I think it’s very important to be together and to feel a connection with our supporters. We’re doing all we can in training."

@UnaiEmery_
 
Unanifananisha na ndugu yako WA chelwowo ndugu Ollachuga Oc

Wewe ni lopolopo tu, mkipigwa jukwaa lenu mnaniachia peke yangu,

Jumapili nyumbu anawabondeni, najua mtaniachia jukwaa peke yangu
Karibu bana kwenye chama la ushindi hahhahaha kwanini upate tabu kujiteka wakati kuna nafasi za kutosha Chelsea? Njo uku usiishi kwa wasi wasi mkuu, kwani timu ni kabila? wee hama tu njo nyumbani ni furaha tele kila gemu sisi ushindi tu...

Kesho kutwa uyo Manure ana khabari zangu. Nikimpiga goli chache basi ni tatu..

Europa is belong to us...
 
Huyo kocha wako Sari mara ya mwisho kuchukua kombe ilikua mwaka gani?.
Huna kocha sema una mvuta mafegi anayejifanya kocha wa mpira.
 
Endelea kujifariji ila away form yako ni mbovu sana, japo ningependa mtoke hata draw ila huna timu ya kupata matokeo hayo OT.
Mkuu OT ndo ground nyepesi msimu huu kupata point tatu kuliko nyingin za EPL..

Angekuwepo Mourihno mambo ndo yangekuwa magumu. Sio uyu mmsai Ole
 
Yaani Mimi nihamie cheltako? Umekosa kabisa tusi la kunitukana?
 
Mkuu OT ndo ground nyepesi msimu huu kupata point tatu kuliko nyingin za EPL..

Angekuwepo Mourihno mambo ndo yangekuwa magumu. Sio uyu mmsai Ole
Wewe piga mboyoyo za kutosha, najua jpili jioni utapotea kwa kasi ya kimbunga keneth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…