Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Mkuu natofautiana na wewe juu ya uwezo wa kocha wetu, Unai Emery ni kocha mzuri kuacha rekodi zake za makombe aliyochukua pia ni mtu sahihi kwa philosophy ya timu yetu.Mkuu hakuna kocha pale. Muda utasema labda abadilike.
Kesho kutwa kama Man u akiambulia hata sare utamuona na mbwe mbwe kibao. Yuko chimbo anatu zoom tu.Jamani kuweni na huruma msameheni tena
Unai ni kocha mzuri ila ana kikosi kibovu, tofauti na Chelsea wana kikosi kizuri ila kocha m'bovu..Mkuu natofautiana na wewe juu ya uwezo wa kocha wetu, Unai Emery ni kocha mzuri kuacha rekodi zake za makombe aliyochukua pia ni mtu sahihi kwa philosophy ya timu yetu.
Tatizo amekikuta kikosi kibovu sana na hakuna fungu la kutosha kwenye usajili.
mkuu hii ban ya aroon ni kali sana ..itabid tuunde kamati ya kuhakikisha anarudi mapema.Hahaa ila wewe na huyo aroon mnaongoza kwa kujipiga burn hahaa
Kwan mkuu bado tuna uhakika na Europa? Au top four? kma vip tumtimue Unai tumatokeo tu hayo
Yan mkuu mpaka sasa sisi arsenal tuna uhakika wa point mbili tu ..Leicester anatukalisha, Burnley tuna draw naye na Europa sion kama tutapita mbele ya Valencia. Unai pale hatuna kitu ni bora babu yetu arudi tu ..Daaah top 4 ndio tusahau kwakweli. Hatuna timu ya kuifunga Leicester au Burnley.
Mkuu kwenye izo game tatu tynauhakika wa point mbili tu ..maana Leicester anatukalisha, izo mbili tunadraw. Europa kule Valencia hatatuacha salama mkuu..namuona unai akiishia nafasi ya tano au sita ..Bado tuna mda wa kutoka kujenga timu yetu arsenal hahahaha ..ivyo uefa sio saizi yetu ..Unai atafeli vibaya sana msimu huu bora babu yetu arudi.Mkuu ngoja rusubir muda maana game 3 ndzo zitaamua nani awe top 4
Mkuu vp mbona unatusemea, japo tupo vibaya ila hiyo Chelsea yako ni uozo mtupu kwa kuanzia hiyo jpili Man U anakukalisha. Kama kawaida yako utapotea huku jukwaani.Yan mkuu mpaka sasa sisi arsenal tuna uhakika wa point mbili tu ..Leicester anatukalisha, Burnley tuna draw naye na Europa sion kama tutapita mbele ya Valencia. Unai pale hatuna kitu ni bora babu yetu arudi tu ..
Bring back Wenger...
Aroon kuna uzi wako special umeanzishwa!! TunakutafutaView attachment 1081312
Isije akawa amejifanya kitu mbaya, hakuna mwenye namba zake?
Kesho kutwa kama Man u akiambulia hata sare utamuona na mbwe mbwe kibao. Yuko chimbo anatu zoom tu.
Hahaaa namsubiri kwa hamu ,maana nyumbu sio boya apigwe Mara 3Sasa subiri Chelsea ajikwae kwa Man United utazame balaa la AROON