OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Hii ndo arsenal tunayoijua miaka yote...kucheza Europa na kuwa mshindani wa kuunga unga kweny ligi..hahahaDuniani timu ni moja tu inaitwa Arsenal au ARSENAL zilizobaki ni vikundi vya taarab. Nashauri Cheltako wamsajili Isha Mashauzi kama kipa wao naona Kepa amezidi kua shati
Unataka kusema Xhaka na Toroli sjui toroiera wanamzidi nin the master pass Jogihno? Leta stats apa...Acha kuongea pumba ,ndio maana mkifungwa ,unajipiga ban wiki nzima,muda mwingine uwe unaongea uhalisia
Wewe fala kweli ,unafananisha toreira au xhaka na legelege huyo jojina ,anapiga back pass hana hata assist 2Unataka kusema Xhaka na Toroli sjui toroiera wanamzidi nin the master pass Jogihno? Leta stats apa...
Allison wa Liverpool kidog ndo atamzid the Best Kepa, ila pengine kwa sababu Liverpool wana strong defense kuliko sisi..Lini kepa aliwabeba Chelsea? Leno beki zikipotea anaibeba sana timu labda hufatilii ndio maana unabwabwaja
Huyo degea mwenyewe sio kila mech anaibeba timu,
Nafikiri majeruhi ya Ramseh na Xhaka na suspension ya beki wetu imechangia matokeo ya jana.Nadhani emery sasa kajifunza, kikosi cha kwanza anacho ,anataka kufanya rotation duh
Arsenal unayoijua wewe sio iliokupiga 2 mtungi?Hii ndo arsenal tunayoijua miaka yote...kucheza Europa na kuwa mshindani wa kuunga unga kweny ligi..hahaha
Kepa hakuna kitu uwe unaelewa , hata hizo cleansheet alizipata mwanzoni ligi anaanza , sasa hivi anatobolewa magoli ya mbali tu, mkishambuliwa kidogo tu goli,au huangalii mechi una subiri matokeo uanze kelele au ujipige banAllison wa Liverpool kidog ndo atamzid the Best Kepa, ila pengine kwa sababu Liverpool wana strong defense kuliko sisi..
Nyie mnanunua vichezajj vya paundi million kumi, tano uko ..mnategemea vitafanya maajabu hahahaha..Kwa timu ya arsenal ilivyo na mizigo mingi ndani,haifai kufanya rotation ,
Mustafi ,jenko,neny, iwobi, hawa wanatakiwa wauzwe waje watu,
Unai Jana katuvua nguo ***** ,man u wanafurahia utadhan hawajapigwa 4 kavu
Hii imechangia kwa kiasi kikubwa, lkn nje alikuwa na toreira , yeye kaanza na neny na matteoNafikiri majeruhi ya Ramseh na Xhaka na suspension ya beki wetu imechangia matokeo ya jana.
Sijawahi kumkubali Guendouzi na Elnen hata watazama mpira wenzangu wanajua.
Wanafurahia wa mtandaoni tu kuna mbuzi mmoja jana alisema Man ikifungwa anatembea tumbo wazi.Kwa timu ya arsenal ilivyo na mizigo mingi ndani,haifai kufanya rotation ,
Mustafi ,jenko,neny, iwobi, hawa wanatakiwa wauzwe waje watu,
Unai Jana katuvua nguo ***** ,man u wanafurahia utadhan hawajapigwa 4 kavu
Wewe uliyenunua wa 100 upo nafas ya ngapiNyie mnanunua vichezajj vya paundi million kumi, tano uko ..mnategemea vitafanya maajabu hahahaha..
Piga mbuzi hawa..
Nmekuambia leta stats apa za Xhaka vs Jogihno na Toroera vs the master pass Jogihno.. Acha keleleeWewe fala kweli ,unafananisha toreira au xhaka na legelege huyo jojina ,anapiga back pass hana hata assist 2
Wewe una kipa pazia la 70 ,upo nafasi ya kwanza? Mimi mwenye WA paun 10 nipo top 4 na Nina uhakika WA top 4 na europaNyie mnanunua vichezajj vya paundi million kumi, tano uko ..mnategemea vitafanya maajabu hahahaha..
Piga mbuzi hawa..
Sasa wewe keleng'ende mmenunua waimba taarab wa pauni 45m na kuendelea hadi muda huu mko wapi?Nyie mnanunua vichezajj vya paundi million kumi, tano uko ..mnategemea vitafanya maajabu hahahaha..
Piga mbuzi hawa..
Utaaibika kijana ,usimfanishe lt11 na uchafu jojina,Nmekuambia leta stats apa za Xhaka vs Jogihno na Toroera vs the master pass Jogihno.. Acha kelelee
Hata Everton alinipiga mbili ..nyie timu bado, Wolves wanakuja mmejipangaje..Arsenal unayoijua wewe sio iliokupiga 2 mtungi?
Anaropoka huyo hajui mpira ,ndio maana wakifungwa anajipiga bani wiki nzima, bora Arsenal inafanya translation na msimu ujao inawaondoa kina neny, jenko,mustafi , na sasa IPO nafas ya 4, yeye aliyenunua kipa kwa 71 hata top 4 hana uhakika Nayo,anapiga keleleSasa wewe keleng'ende mmenunua waimba taarab wa pauni 45m na kuendelea hadi muda huu mko wapi?
Wewe siulikula cap emirates na litimu lako bovu?Hata Everton alinipiga mbili ..nyie timu bado, Wolves wanakuja mmejipangaje..
Wewe ndugu kitu kidogo unataka takwimu.Unataka kusema Xhaka na Toroli sjui toroiera wanamzidi nin the master pass Jogihno? Leta stats apa...