Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,725
- 3,516
Next Wolverhampton msiba mwingine huu
Unaonaje unakimbizana na gari la mkaa halafu bado linakuacha..! Hujistukii tuu??
Labda wakaze makalio ..wakilegeza ndo ivo ..wauni wanapita tuu ...bahahaahaha
Mbwa mwitu hulaga hadi mifupa...
Hahaa.. Mkuu nina imani watakua wolves wale.Walizani hilo jeshi la police la mkoa wa Dodoma watachakaza wote waliombele yao.
Sasa shughuri ipo kwa wale mbwa mwitu yenye kocha wa kipemba wa Zanzibar.
Hahahahaha mkuu hichi kimarehemu kilijiona bora sana ...acha kiendelee kufa tuu ...Hahahahahaha
Watu mna maneno nyie hadi misabani, mweeee....
Hahahaha apo kaa AROON kaliandika kwa kujiamini kakizani kenyewe kana boooooongeeee la kipaaaàa ...haahaaa
Leo mmehamia huku, wakati timu lenu cheltako bovuHumu ndani moshi mwingi, halafu nasikia harufu ya ndizi. (In Nyakyusa voice)
Wewe cheltako una uhakika upi, subir may tuone nan atakaa top 4Mkuu lazima tumepigwa. Haiwezekani kabisaHawa gongowazi wanawezaje kuwa na uhakika ivyo. Timu yenyewe Arsenal
Leo unachonga sana humu ,ukipigwa unajipigaga ban ya wiki nzimaTena huu ni uhakika kabisa hahahahahaha ...
Hiv kepa yule pazia anayefungwa magoli ya ajabu unamfananisha na Leno? Acha ushabiki maandazi wewe cheltakoSasa kumbe unajua kuwa kipa anafungwa. Mimi nikazanj Leno hajawahi kabisa kufungwa ..yeye ni Klin sheat tu ..sasa niambie top six zote kipa gan bora kwa sasa zaid ya Kepa.?
Na nyie mmeanza maneno ,huo ubingwa bora achukue city tu, na man u wameshasema wanagawa ubingwa kwa man city,tuone kelele zenu zitaishia wapiNext Wolverhampton msiba mwingine huu
Acha nifurahi bana ..Yesu kafufuka ..ci unajua mimi baadae Nina noma yangu ..japo nin uhakika nitaimudu .Leo unachonga sana humu ,ukipigwa unajipigaga ban ya wiki nzima
Unadhani cheltako wale ,arsenal ikitimia haifungwi ,subiri uone utamaliza nafasi ya ngapi mayHahaha mzee kaingiza upepo hahaha mbweha wale ata mpange kikosu gani ..lazima wawale tuu..
Lakini mwisho wa msimu nafasi ya 5 ni yakoAcha nifurahi bana ..Yesu kafufuka ..ci unajua mimi baadae Nina noma yangu ..japo nin uhakika nitaimudu .
Hahaha Leno hahaha ..Mara kumi Manula kuliko ilo pazia..Hiv kepa yule pazia anayefungwa magoli ya ajabu unamfananisha na Leno? Acha ushabiki maandazi wewe cheltako
Wakati uo Wewe utakuwa ya sita. Au siyo!!Lakini mwisho wa msimu nafasi ya 5 ni yako
Nafas ya 6 ni manyumbu, nafas ya 4 na 3 ni kati ya arsenal au Tottenham,namba 5 ni cheltako,weka kumbukumbu vzrWakati uo Wewe utakuwa ya sita. Au siyo!!
Kwa iyo assanal isipotimiaga ndo inapondwa kipigo cha mbwa koko..Unadhani cheltako wale ,arsenal ikitimia haifungwi ,subiri uone utamaliza nafasi ya ngapi may