Shukran sana kwa Papastathopoulos Koscielny na nacho Monreal hawa jmaaa uku nyuma wanaelewana na wako makini pia wana tumia zaidi akili!
Torreira xhaka laccazete Aubameyang ramsey/mick wamejitahidi sana kufanya pressing kiasi Napoli wamejikuta wanapata tabu kutusogelea kwenye lango letu kupitia kati kati na wanalazimika kutumia sana pembeni lkn pia wanajikita wanaishia kutupa mipira isiyokuwa na malengo na inaishia mikonon mwa peter cech