Tuombe Mungu tu huyu dogo naye asiwe just 'another flop', the degree of expectations is very high on him among mashabiki wa Gunners, time will tell....
....cha kushanza ni kwamba herufi tatu za mwanzo za majina ya Club: ARSenal, Kocha: ARSene na mchezaji lulu: ARShavin yanafanana...is this a conincidence??????? Hesabu ya harakaharaka kwa wanaojua mahesabu: ARSenal (FC) + ARSene (Wenger) + ARShavin = FA + PREMIER + CHAMPIONS Cups. Kama wewe ni mgumu kuelewa au namba zilikupita kushoto wakati ukiwa shule ya msingi na sekondari, then utabisha. Lakini kwa wapenzi wa ARSENAL lazima wakubaliane na hesabu hiyo rahisi kabisa. Mungu Ibariki ARSENAL, Mungu Wabariki wapenzi wa Arsenal....Amina.
A bit of North London derby preview..........
Arsenal's new £15m signing Andrey Arshavin is likely to be included in the Gunners squad for their trip to rivals Tottenham on Sunday.
The Russian forward has received a work permit in time to feature and Emmanuel Eboue is fit, but Abou Diaby is banned.
Arshavin 'won't be rushed' into derby debut
Sundays North London derby may come too early for Andrey Arshavin.
The 27-year-old new signing is currently travelling back from Russia after obtaining his visa. He is scheduled to arrive on Friday night however, with only 10 days of pre-season training under his belt with Zenit St Petersburg, Arsène Wenger was suggesting the midfielder may miss out.
I will have reservations yes," said the manager at the pre-match press conference. "The worst thing for a player is not being ready to play in a game of that intensity, or getting injured before having kicked a ball for the team.
Kweli nilikwambia hiyo fixture sio rahisi soKwa kweli nafasi ya 3 ama 4 ndio realistic goal kwa sasa na hili nadhani linawezekana bado.
Mechi 8 zinazofuata naamini tutakuwa juu ya Villa kabla ya April 4. Nikiangalia fixture yetu na ya Villa sisi tuko na favour, Tuko nyumbani dhidi ya W/ham,S'land, Fulham, B'burn na Man City. Ugenini dhidi ya Spurs, W'brom na N'castle wakati Villa wana mechi ngumu away dhidi ya L'pool na ManU na nyumbani dhidi ya Chelsea! Sasa kama tutaboronga hapa tena?
The Genius AW muda wake umekwisha, tunahitaji Manager mpya kama Rijkaard aje na ideas mpya bila kubadili our style of football.
Next 8 Fixtures
A Villa
Saturday, 31 January 2009
Aston Villa v Wigan
Saturday, 07 February 2009
Blackburn v Aston Villa,
Saturday, 21 February 2009
Aston Villa v Chelsea,
Sunday, 01 March 2009
Aston Villa v Stoke,
Wednesday, 04 March 2009
Man City v Aston Villa,
Sunday, 15 March 2009
Aston Villa v Tottenham,
Sunday, 22 March 2009
Liverpool v Aston Villa,
Saturday, 04 April 2009
Man Utd v Aston Villa,
Arsenal.
Saturday, 31 January 2009
Arsenal v West Ham,
Sunday, 08 February 2009
Tottenham v Arsenal,
Saturday, 21 February 2009
Arsenal v Sunderland,
Saturday, 28 February 2009
Arsenal v Fulham,
Tuesday, 03 March 2009
West Brom v Arsenal,
Saturday, 14 March 2009
Arsenal v Blackburn,
Saturday, 21 March 2009
Newcastle v Arsenal,
Saturday, 04 April 2009
Arsenal v Man City
Kweli nilikwambia hiyo fixture sio rahisi so
Game 2 tayari Vila wana point 4 na nyie mna 2
Arsenal leo mpo fiti,naona mnaongoza 2 bila dhidi ya Cardiff. Mpira unaendelea lakini!
Poa Mola atatujalia tupate pointi 3
Poa Mola atatujalia tupate pointi 3