Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
hichi kitimu kinasajili vichezaji vya paundi million 10 halafu vinategemea kubeba ubingwa hahahaha kitabaki kuwa "mshiriki maarufu wa EPL"Mkuu watu wanaongelea world class players...Pogba, Neymar, Messi, Ronaldo, Raktic wewe bado uko na huyo!!! Pole sana. Mwaka wa 17 tena huu mnatoka tupuuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpiga zumari umerud tena humu,hichi kitimu kinasajili vichezaji vya paundi million 10 halafu vinategemea kubeba ubingwa hahahaha kitabaki kuwa "mshiriki maarufu wa EPL"
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe usisopambania nafasi ya nne msimu ujao Europa itakuhusu tena, huna timu ya kushindana na Chelsea kwa sasa. Gemu zote zilizbaki haijalishi ni Europa au ligi au nini..zote tunatifua tuWewe mpiga zumari umerud tena humu,
Hivi cheltako hujui kuwa msimu huu Europa hupati kitu, EPL utagombania nafas ya 5 na ya 6?hujui hilo?
Yohana 3:16
Mkuu unaenda kufa 2-0 kwake. Reserve my commentUnatapatapa sasa, Napoli ni timu ya kawaida ,timu za Italy huwa hazichomoki kwa arsenal,
Subir next week utaniambia,
Yohana 3:16
Umekuwa mganga wa kienyeji sasa, kwa arsenal hii nakutaka final ,unarukaruka tu nitakupiga 4-0 ,nimeiona juz mech yako ya Europa una timu mbovu sana
Wewe inaonesha hata mech za cheltako hufatilii, litimu lako libovu ni dhaifu sana, katimu kale Slavia prague kanakushambulia mwanzo mwisho, sasa una timu kweli ya kupambana na arsenal yenye Toreira na Xhaka, ?wewe usisopambania nafasi ya nne msimu ujao Europa itakuhusu tena, huna timu ya kushindana na Chelsea kwa sasa. Gemu zote zilizbaki haijalishi ni Europa au ligi au nini..zote tunatifua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv ulifanikiwa kuangalia mech ya napol na arsenal kweli kabla hujasema hayo? Hivi akiwepo LT11 na Ramsey unaamini kweli wataitoa arsenal?au ushabiki tu
Unakuja hivi hivi mwisho wa siku unarud mtaa wako,Kuna watu wamejificha kwenye kivuli cha Simba wanadhani hatujui hili..View attachment 1070731
Sent using Jamii Forums mobile app
Westham watakapopata goli pia uje utujulishe,Kuna watu wamejificha kwenye kivuli cha Simba wanadhani hatujui hili..View attachment 1070731
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaa wa 6Unakuja hivi hivi mwisho wa siku unarud mtaa wako,
Kuna siku ulikuja hivi ukakaa nafas ya 5 kwa dk 12 tu,
Hivi hujui msimu huu utamaliza namba 6?
Yohana 3:16
Tatizo lako unadhani umeifunga Napoli kwa ubovu wao. Mkuu wale siyo wabovu pengine walizidiwa techniques tu. Ndio maana nakwambia subiri uende kwake utapata majibu kamili.Hiv ulifanikiwa kuangalia mech ya napol na arsenal kweli kabla hujasema hayo? Hivi akiwepo LT11 na Ramsey unaamini kweli wataitoa arsenal?au ushabiki tu
Yohana 3:16
Mkuu unachosema ni kweli pengine karibia nusu ya kikosi ni cha pili ndio uka define nina timu mbovu sana. Njoo Anfield leo nikuoneshe mpira mbovu.Umekuwa mganga wa kienyeji sasa, kwa arsenal hii nakutaka final ,unarukaruka tu nitakupiga 4-0 ,nimeiona juz mech yako ya Europa una timu mbovu sana
Yohana 3:16
Watazidiwa tu maana Wembe ule ule uliowanyoa emirate ndio huo huo ,halafu unadhan wataweza kuzuia arsenal yenye lava auba, Ramsey ,ozil, lt11 wasitie goli hata 1?Tatizo lako unadhani umeifunga Napoli kwa ubovu wao. Mkuu wale siyo wabovu pengine walizidiwa techniques tu. Ndio maana nakwambia subiri uende kwake utapata majibu kamili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitakuwepo Leo kushuhudia ,mkishinda ,liver watakuwa wamejiharibia wenyeweMkuu unachosema ni kweli pengine karibia nusu ya kikosi ni cha pili ndio uka define nina timu mbovu sana. Njoo Anfield leo nikuoneshe mpira mbovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni nafas utakayomaliza msimu huu, nitakuja kufukua hili kaburi
Teh.. Hazard alianza.? Kante, RLC.? Na Emerson je.? Usiwe mbishi weweMkuu nitakuwepo Leo kushuhudia ,mkishinda ,liver watakuwa wamejiharibia wenyewe
Halafu usiseme Europa ulipanga kikos cha pili, wachezaji wote first 11,
Yohana 3:16
Mbona waliingia kucheza, halafu asilimia 90 ni wanaocheza kila siku, Chelsea hainaga kikos cha pili, ndio maana hata hiyo michuano kabalelo hamumpi nafasiTeh.. Hazard alianza.? Kante, RLC.? Na Emerson je.? Usiwe mbishi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app