Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ya Liverpool na moja wapo kati ya westham au ya man u
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Mkuu acha kupiga ramliNakwambia hiviii, Leicester anakuliza mchana kweupe, Wolves na Everton wanawaliza mchana kweupe
Niko nairudia game buh ozil need to be more physicalWatu walikuwa wanasema unai ana ugomvi na ozil ila unai mwenyewe alisema mara nyingi anahitaji ozil awe bora zaidi na akamsugua saiz tunaona sasa ozil anavyojituma hata asipokuwa na mpira na jinsi anavyocheza akiwa na mpira.. Amekuwa ozil ngangari..
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Jana kajitahid hadi emery kamsifu
Pumbavu kweli wewe, mpira hujuiGoalkeepers with the most clean sheets in top 5 leagues.
Hapa naongea na yule anayekuja kwenye uzi wetu anamponda Kepa kwa kumlinganisha na Leno ukimwambia leta takwimu anakimbia. Sasa naomba mwisho uwe leo otherwise uje na facts siyo pampalila zako. Aroon ukae kimya usifananishe kepa na uchafu mwingine.View attachment 1061430
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa